Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Simba imeshinda kwa mabao 3-0, dhidi ya Gor Mahia. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mashabiki wa Yanga, wakipiga kelele kumlalamikia aliyekuwa mchezaji wao, Emmanuel Okwi, aliyewakimbia na kujiunga na watani wao, Simba SC, wakati wa mchezo kati ya timu hizo leo.
Emmanuel Okwi (kushoto) wa Simba, akirukiwa na dalunga na David Owino wa Gor Mahia ya Kenya, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaa.
Emmanuel Okwi (kushoto) wa Simba, akijaribu kumpiga chenga Kennedy Odiyo wa Gor Mahia ya Kenya.
Emmanuel Okwi (kulia) wa Simba, akiwania mpira na Harun Shakana wa Gor Mahia ya Kenya, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ramadhan Singano (kushoto) wa Simba, akipiga mpira mbele ya Harun Shakana wa Gor Mahia ya Kenya, wakati wa mchezo wa kirafiki wa KImataifa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba imeshinda mabao 3-0.
Emmanuel Okwi wa Simba, akimtoka Mussa Mohamed wa Gor Mahia ya Kenya, wakati wa mchezo huo wa kirafiki wa Kimataifa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Ibrahim Ajib wa Simba, akimruka Danny Sserunkuma wa Gor Mahia, wakati wa mchezo huo. Simba imeshinda kwa mabao 3-0.
Wachezaji wa Simba wakishangilia kwa kupompongeza Paul Kiongera baada ya kufunga goli la 3 kwa timu yake hiyo.
Wachezaji wa Simba wakishangilia kwa kupompongeza Paul Kiongera baada ya kufunga goli la 3 kwa timu yake hiyo.
No comments:
Post a Comment