Mkurugenzi
wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Raphael Mwamoto
akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa kuendelea
kuboresha huduma za Afya nchini, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar
es Salaam.Kushoto Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko huo
Bw. Deusdedit Rutazaa.
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Deusdedit Rutazaa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mpango wa kuanza kutoa mikopo ya dawa kwa vituo ambavyo vimesajiliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko huo Bw. Raphael Mwamoto.
Mkurugenzi
wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw.
Deusdedit Rutazaa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mpango
wa kuanza kutoa mikopo ya dawa kwa vituo ambavyo vimesajiliwa na Mfuko wa Taifa
wa Bima ya Afya. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko huo Bw.
Raphael Mwamoto.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakiwasikiliza wawasilishaji kutoka Mfuko wa Taifa wa
Bima ya Afya.
No comments:
Post a Comment