TANGAZO


Saturday, September 20, 2014

Maonesho ya Nyumba ya Tanzania Homes Expo yazinduliwa Mlimani City jijini Dar es Salaam


Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (kushoto), akipokelewa na Mkurugenzi wa EAGgroup, Zenno Ngowi, alipowasili kwa ajili ya ufunguzi wa maonesho ya Nyumba ya Home Expo, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (kushoto), akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika Mlimani City kuyafungua maonesho ya Nyumba ya Home Expo, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (kushoto), akifuatana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula kwa ajili ya kwenda kuyafungua maonesho ya Nyumba ya Home Expo, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (katikati), akikata utepe ili kuyazindua maonesho ya Nyumba ya Home Exspo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula, wapili kushoto ni Mkurugenzi wa EAGgroup, Zenno Ngowi, Msanifu Majengo wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Idara ya Nyumba, Julius Ndege (wakwanza kushoto) na wapili kulia ni Diwani wa Kata ya Kigogo, Richard Chengula. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (katikati), akipga makofi mara baada ya kukata utepe kuyazindua maonesho ya Nyumba ya Home Exspo.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (katikati), akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukata utepe kuyazindua maonesho ya Nyumba ya Home Exspo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula na kushoto ni Mkurugenzi wa EAGgroup, Zenno Ngowi.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (watatu kushoto), akipatiwa maelezo na Msanifu Majengo wa Manispaa ya Kinondoni, Joshua Munuo (kulia), wakati akitembelea mabanda ya maonesho hayo ya Home Exspo, Dar es Salaam leo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi wa maonesho hayo, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (watatu kulia), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi wa Kampuni ya General Interior Solutions, Alkarim Somji, alipofika kwenye banda la kampuni hiyo.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (kushoto), akipatiwa maelezo na Mkuu wa Masoko wa Kampuni ya Unique Properties, helen Mangare (wapili kulia) na Anna Kileo, alipofika kwenye banda la kampuni hiyo.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (wapili kulia), akipatiwa maelezo na Ofisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Salma Mwinyi (kushoto) na Olivia Zoka (wapili kushoto), wakati alipofika kwenye banda la shirika hilo katika maonesho hayo. Wakwanza kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula.  
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (wapili kulia), akipatiwa maelezo na Mtaalamu wa Bidhaa na Data wa Shirika la Simu Tanzania (TTCL), John Yahya (kushoto), alipofika kwenye banda la shirika hilo katika maonesho hayo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula. 
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (kulia), akipatiwa maelezo na Peter Konyaki (kushoto) wa Kampuni ya Chloride Exide (T), Wawakilishi wa Uuzaji wa Vifaa vya Sola nchini, wakati alipotembelea kwenye banda la kampuni hiyo katika maonesho hayo. Wapili kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda (kulia), akipatiwa maelezo na Peter Konyaki (kushoto) wa Kampuni ya Chloride Exide (T), Wawakilishi wa Uuzaji wa Vifaa vya Sola nchini, wakati alipotembelea kwenye banda la kampuni hiyo katika maonesho hayo. Wapili kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za EAGgroup, waandaaji wa maonesho hayo, Imani Kajula.

No comments:

Post a Comment