Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Sihaba Nkinga akimtunuku cheti Mwakilishi wa Platinum Credit Ltd Bw. Ferdinand Kambanyumba ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wao katika kuendeleza michezo wakati wa hafla ya kuwaaga wachezaji wa Wizara watakaoshiriki mashindano ya SHIMIWI 2014.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Concilia Niyibitanga akipokea kwa niaba ya Katibu Mkuu, msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya Platinum Credit Ltd Bw. Ferdinand Kambanyuma wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo kwa baadhi ya timu za Wizara na Taasisi za Serikali zinazotarajia kushiriki mashindano ya SHIMIWI leo jijini Dar es Salaam.Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza rasmi kuanzia tarehe 27 mwezi huu na kumalizika tarehe 11 Oktoba mkoani Morogoro.

Kaimu Katibu Mkuu wa SHIMIWI Bw. Moshi Makuka (kulia) akipokea msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Platinum Credit Ltd Bw. Elias Samwel wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo kwa baadhi ya timu za Wizara na Taasisi za Serikali zinazotarajia kushiriki mashindano ya SHIMIWI leo jijini Dar es Salaam.Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza rasmi kuanzia tarehe 27 mwezi huu na kumalizika tarehe 11 Oktoba mkoani Morogoro.
Mwenyekiti Timu ya Utumishi Bw. Lumuli Mtaki (kushoto) akipokea msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Platinum Credit Ltd Bw. Elias Samwel wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo kwa baadhi ya timu za Wizara na Taasisi za Serikali zinazotarajia kushiriki mashindano ya SHIMIWI leo, jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza rasmi kuanzia tarehe 27 mwezi huu na kumalizika tarehe 11 Oktoba mkoani Morogoro.
No comments:
Post a Comment