Mwenyekiti
wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia), akimkabidhi Mwenyekiti wa bunge hilo, Mhe. Samuel Sitta Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa, wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo mjini Dodoma leo. Kamati ya
Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa
Bungeni kesho. (Picha zote na Owen Mwandumbya)
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia), akimkabidhi Mwenyekiti wa bunge hilo, Mhe. Samuel Sitta Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo, mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia), akifurahi pamoja na Mwenyekiti wa bunge hilo, Mhe. Samuel Sitta, wakati akimkabidhi Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa, mjini Dodoma leo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni kesho.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia), akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa
wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo leo. Kamati ya
Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa
Bungeni kesho. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samia Suluhu Hassan na kulia ni Katibu Mkuu wa bunge hilo, Yahya Khamis Hamad.
No comments:
Post a Comment