TANGAZO


Friday, September 5, 2014

Alhaji Dangote, alipowasili Mtwara kukagua ujenzi wa kiwanda chake cha Cement.

 Baadhi ya majengo yakiendelea kujengwa katika kiwanda cha saruji cha mfanyabiashara huyo.



 Alhaji Aliko Dangote (chini), akishuka kwenye ndege yake, aina ya Jet, aliyokuja nao jana, mjini Mtwara.
Akisalimiana na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Alsha Balizi aliyefika kumpokea.

Mfanyabiashara maarufu kutoka Nigeria, Alhaji Aliko Dangote (kushoto) akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kapteni msitaafu, Joseph Simbakalia baada ya kufanya naye mazungumzo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake kikubwa cha saruji alichokikagua juzi mkoani Mtwara. (wa pili kulia ni Balozi wa Nigeria nchini, Dk. Ishara Majanbu.

Mfanyabiashara maarufu kutoka Nigeria, Alhaji Aliko Dangote akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Msijute alipokwenda kukagua ujenzi wa kiwanda hicho. Kulia ni Meneja Mwenzeshaji Mradi huo, Esther Baruti.
Mfanyabiashara maarufu kutoka Nigeria, Alhaji Aliko Dangote akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa jengo la Kituo kikubwa cha Polisi katika Kijiji cha Msijute juzi karibu kabisa na  kiwanda chake kikubwa cha saruji kinachojengwa mkoani Mtwara. Kulia ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara, Agostino Ollomi na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MBI LTD, G. Kweka aliyetoa bure kiwanja hicho, chenye ukubwa wa hekali 6.

No comments:

Post a Comment