TANGAZO

Sunday, August 31, 2014

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi azindua Vicoba mkoani Dodoma

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi akifafanua jambo, alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa vicoba, mkoani Dodoma, katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Nyerere, mjini Dodoma jana.
Mlezi wa Vicoba, mkoani Dodoma, Anthony Mavunde akipeana mkono na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi wakati wa uzinduzi wa Vicoba uliofanyika jana, mjini Dodoma.
Wanachama wa kikundi cha vicoba cha Kilimani A' wakishangilia mara baada ya kutangazwa kushika nafasi ya pili baada ya kujiwekea hisa za shilingi milioni 23 na kupata zawadi ya laki tano, kutoka Makao Makuu ya vicoba nchini.
Mmoja wa wanavicoba akikabidhiwa friji ya kampuni ya cocacola baada ya kufuzu vigezo vya biashara ya vinywaji na Naibu waziri huyo.
Rais wa Vicoba nchini, Devota Likokola, akiiwa na baadhi ya viongozi Meza Kuu, wakati wa uzinduzi huo.
Wanachama wa kikundi cha vicoba cha Kilimani A' wakishangilia mara baada ya kutangazwa kushika nafasi ya pili baada ya kujiwekea hisa za shilingi milioni 23 na kupata zawadi ya laki tano, kutoka Makao Makuu ya vicoba nchini.

No comments:

Post a Comment