Komandoo Sidhee Bahadurkatuwal, kutoka Nepal akionesha mbwa aliyejulikana kwa jina la Tiger, aliyekuwa amefungwa ndani ya kibanda hicho, kwenye nyumba ya Mrwanda aliyokuwa akiilinda kupitia kampuni ya Ulinzi ya Advanced Security karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana, akiwa na makomandoo wenzake kutoka nchini humo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Maofisa wa Uhamiaji wakimhoji mama wa Kitanzania aliyeolewa na Mnyarwanda, ambao nyumba yao ilikuwa ikilindwa na Makomandoo kutoka Nepal.
| Baadhi ya Makomandoo hao wakiwa kwenye nyumba hiyo ya Mnyarwanda maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere wakiwa wamevalia sare ya Kampuni ya Ulinzi ya Advanced. |

No comments:
Post a Comment