TANGAZO


Tuesday, August 5, 2014

Kampuni ya Vinywaji Baridi ya SBC yazindua Soda mpya ya Mirinda aina ya Green Apple

 Kinywaji cha Mirinda Green Apple kikiwa katika chupa.
Maofisa wa Kampuni hiyo Godlisten Mende (kulia) na Omari Madaya wakionesha kinywaji hicho kwa waandishi wa habari.
Meneja Mauzo wa SBC, Godlisten Mende (kulia), akionesha kinywaji hicho kwa waandishi wa habari. Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
Meneja Mauzo wa Kanda, Omar Madaya (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kuzindua kinywaji hicho iliyofanyika Dar es Salaam jana.
Meneja Mauzo wa SBC, Godlisten Mende (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Waandishi wa habari wakionja kinywaji hicho.
Mwandishi huyu wa habari, kama anasema "jamani mirinda hii ni tamu".
Waandishi wa habri wakiwa kwenye hafla hiyo, ya uzinduzi wa kinywaji hicho kipya cha aina ya Mirinda Green Apple.
 Waandishi wa habari wakichangamkia kinywaji hicho.
Waandishi wa habari wakichukua taarifa kutoka kwa  maofisa wa SBC.
Mmoja wa maofisa wa SBC (kushoto), akiwaelekeza jambo wenzake.

No comments:

Post a Comment