TANGAZO


Wednesday, August 20, 2014

JK mgeni rasmi mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari Jumuiya ya Afrika Mashariki



Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA), Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu uzinduzi wa mashindano hayo yanayo tarajiwa kuanza tarehe 22, kuliani Kaimu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Packshard P. Mkongwi.


Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Jumanne Sagini, Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi. Juliana Yassoda, Mkuu wa Uhamasishaji wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA), Bw. Felix Shija wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA), Mhe. Mwantumu Mahiza alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam. 



Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi. Juliana Yassoda, Mkuu wa Uhamasishaji na Matangazo wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA), Bw. Felix Shija wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA), Mhe. Mwantumu Mahiza wakati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini, Dar es Salaam. (Picha zote na Frank Shija, Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WHVUM)

No comments:

Post a Comment