Ofisa Mauzo wa Benki ya Posta Tanzania Nelson Mwakilasa akiwaelimisha watoto juu ya umuhimu wa kuweka akiba kwa ajili ya kujiendeleza kielimu. Watoto walitembelea Banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimatifa leo jijini Dar es salaam kujifunza mambo mbalimbali yanayoendeshwa na Wizara hiyo. (Picha zote na Hazina)
Ofisa Mauzo wa Benki ya Posta Tanzania Nelson Mwakilasa akiwaelimisha watoto juu ya umuhimu wa kuweka akiba kwa ajili ya kujiendeleza kielimu. Watoto walitembelea Banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimatifa leo, jijini Dar es salaam kujifunza mambo mbalimbali yanayoendeshwa na Wizara hiyo.
Ofisa Masoko wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), Maulasa Uledi (kulia) akiwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kuweka akiba ili ziwasaidie siku za usoni. Wananchi hao walitembelea Banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimatifa leo jijini Dar es salaam kujionea na kujifunza shughuli mbalimbali zinaendeshwa na Wizara hiyo.

No comments:
Post a Comment