Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akielezea pamoja na mambo mengine majukumu na wajibu wa mamlaka hiyo kwa jamii, ikiwemo pia safari zilizofanywa na viongozi wa mamlaka hiyo, mikoani kwa ajili ya kuwapiga msasa wadau wa sekta ya hifadhi ya jamii kwa kuwaelimisha kujiunga na mifuko waipendayo kwa faida yao ya sasa na ya baadaye. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa SSRA, Stewart Bisanda.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akiwaelezea pamoja na mambo mengine majukumu na wajibu wa mamlaka hiyo kwa jamii, ikiwemo pia safari zilizofanywa na viongozi wa mamlaka hiyo, mikoani kwa ajili ya kuwapiga msasa wadau wa sekta ya hifadhi ya jamii kwa kuwaelimisha kujiunga na mifuko waipendayo kwa faida yao ya sasa na ya baadaye. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa SSRA, Stewart Bisanda.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akiwaelezea pamoja na mambo mengine majukumu na wajibu wa mamlaka hiyo kwa jamii, ikiwemo pia safari zilizofanywa na viongozi wa mamlaka hiyo, mikoani kwa ajili ya kuwapiga msasa wadau wa sekta ya hifadhi ya jamii kwa kuwaelimisha kujiunga na mifuko waipendayo kwa faida yao ya sasa na ya baadaye. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa SSRA, Stewart Bisanda na kulia ni Ofisa Habari wa Idara ya Habari, Maelezo, Fatuma Salum.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde (katikati kushoto), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akiwaelezea pamoja na mambo mengine majukumu na wajibu wa mamlaka hiyo kwa jamii, ikiwemo pia safari zilizofanywa na viongozi wa mamlaka hiyo, mikoani kwa ajili ya kuwapiga msasa wadau wa sekta ya hifadhi ya jamii kwa kuwaelimisha kujiunga na mifuko waipendayo kwa faida yao ya sasa na ya baadaye. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa SSRA, Stewart Bisanda na kulia ni Ofisa Habari wa Idara ya Habari, Maelezo, Fatuma Salum.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, wakati alipokuwa akizungumza na nao, Dar es Salaam leo, akiwaelezea pamoja na mambo mengine, majukumu na wajibu wa mamlaka hiyo kwa jamii, ikiwemo pia safari zilizofanywa na viongozi wa mamlaka hiyo, mikoani kwa ajili ya kuwapiga msasa wadau wa sekta ya hifadhi ya jamii kwa kuwaelimisha kujiunga na mifuko waipendayo kwa faida yao ya sasa na ya baadaye.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakinukuu maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, wakati alipokuwa akizungumza na nao, Dar es Salaam leo kuhusu mamlaka hiyo kwa jamii.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akiwaelezea pamoja na mambo mengine majukumu na wajibu wa mamlaka hiyo kwa jamii, ikiwemo pia safari zilizofanywa na viongozi wa mamlaka hiyo, mikoani kwa ajili ya kuwapiga msasa wadau wa sekta ya hifadhi ya jamii kwa kuwaelimisha kujiunga na mifuko waipendayo kwa faida yao ya sasa na ya baadaye. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa SSRA, Stewart Bisanda na kulia ni Ofisa Habari wa Idara ya Habari, Maelezo, Fatuma Salum.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, katika mkutano huo.
Baadhi ya wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari, wakichukua picha wakati Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akizungumza na nao, Dar es Salaam leo, alipokuwa akiwaelezea pamoja na mambo mengine majukumu na wajibu wa mamlaka hiyo kwa jamii, ikiwemo pia safari zilizofanywa na viongozi wa mamlaka hiyo, mikoani kwa ajili ya kwenda kuwapiga msasa wadau wa sekta ya hifadhi ya jamii kwa kuwaelimisha kujiunga na mifuko waipendayo kwa faida yao ya sasa na ya baadaye.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akiwaelezea pamoja na mambo mengine majukumu na wajibu wa mamlaka hiyo kwa jamii, ikiwemo pia safari zilizofanywa na viongozi wa mamlaka hiyo, mikoani kwa ajili ya kuwapiga msasa wadau wa sekta ya hifadhi ya jamii kwa kuwaelimisha kujiunga na mifuko waipendayo kwa faida yao ya sasa na ya baadaye. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa SSRA, Stewart Bisanda.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde (katikati kushoto), akisikilza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na waandishi wa habari kuhusiana na mamlaka hiyo, majukumu na wajibu wake kwa jamii. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa SSRA, Stewart Bisanda na kulia ni Ofisa Habari wa Idara ya Habari, Maelezo, Fatuma Salum.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde (katikati), akisikilza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na waandishi wa habari kuhusiana na mamlaka hiyo, majukumu na wajibu wake kwa jamii. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa SSRA, Stewart Bisanda na kulia ni Ofisa Habari wa Idara ya Habari, Maelezo, Fatuma Salum.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, wakati alipokuwa akizungumza na nao, Dar es Salaam leo kuhusu mamlaka hiyo kwa jamii.
KAMA ilivyoainishwa katika Sheria Na. 8 ya mwaka 2008, kifungu cha 5 moja ya
majukumu ya Mamlaka ya Usimamizi na
Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) ni kutoa elimu kwa umma kuhusu
sekta ya Hifadhi ya Jamii na umuhimu wa wananchi kujiunga na Mifuko ya Hifadhi
ya jamii kwa faida yao ya sasa na ya baadae.
Katika
kufanikisha jukumu la kutoa elimu kwa umma, Mamlaka imetembelea mikoa (10)
kwa kipindi cha wiki mbili ambayo ni Dar es salaam, Dodoma, Iringa,
Lindi, Morogoro, Mwanza, Mara, Shinyanga, Tabora, na Singida.
Katika semina hizo zililenga yafuatayo:
Kuhakikisha kuwa inalinda, kutetea na
kuendeleza maslahi ya wanachama wa sekta ya Hifadhi ya Jamii. Mamlaka kupitia
kifungu cha 30 cha Sheria ya SSRA inawakumbusha waajiri,wafanyakazi na wananchi
wote yafuatayo;
Waajiri
·
Kusajili wafanyakazi wao katika Mifuko ya
Hifadhi ya jamii kutokana na matakwa ya mfanyakazi huku wakizingatia kifungu
namba 30 cha sheria ya SSRA kinachoeleza kuwa kila mwajiri anatakiwa
kuwaandikisha wafanyakazi wake katika mifuko ya Hifadhi ya jamii.
· Kuwasilisha
michango ya wafanyakazi kwenye Mifuko kwa wakati kama ilivyoamriwa kisheria.
· Kutowalazimisha
wanachama kuingia katika mifuko ya Hifadhi ya jamii ambayo mwajiri anataka
· Kutoingia
mikataba maalumu na mifuko ya Hifadhi ya jamii kuhusu uandikishaji wanachama
Wafanyakazi na Wananchi
wote
Hifadhi ya Jamii ni haki ya kila mtu kama
ilivyoainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Mwaka 1977 Ibara na
11(1), Mkataba wa Kimataifa wa Mwaka 1948 kuhusu Haki za Binadamu, Mikataba ya
Shirika la Kazi Duniani (ILO) pamoja na Sera ya Hifadhi ya Jamii ya Mwaka 2003.
Hivyo kila
mwananchi ana haki ya kujiunga na Mfuko wowote wa Hifadhi ya Jamii ili afaidike
na mafao yanayotolewa na Mfuko husika.
Mwanachama wa
Hifadhi ya jamii ana wajibu ufuatao;
·
Kila
mwananchi ana uhuru wa kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ili aweze
kunufaika na Mafao mbalimbali yatolewayo na Mifuko hiyo
·
Kufuatilia michango yote kama
inawasilishwa kwenye Mfuko anaochangia
·
Kuhakikisha kuwa anapata kadi ya uanachama
wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii aliojiunga nao
·
Kupata mafao anayostahili kwa mujibu wa
sheria iliyoundaMfuko wa Hifadhi ya Jamii aliojiunga nao.
Katika
kipindi cha mwezi mmojaMamlaka imeweza kutoa elimu kwa wadau zaidi ya 10,000 wakiwemw;
·
Makatibu Tawala na Maafisa kutoka
katika idara mbalimbali za mikoa husika
·
Maafisa wa na watumishi Jeshi la Polisi ambao ni
wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii
·
Wanafunzi wa vyuo vikuu,
·
Wawakilishi kutoka vyama
mbalimbali vya wafanyakazi (TUCTA) Mabaraza ya Wafanyakazi wa mashirika
mbalimbali ya Umma na Serikali
·
Wasanii na Wajasiliamali
·
Vile vile MamlakaImeshiriki
katika maonesho ya wanafunzi wa vyuo vikuu
·
Maonesho ya OSHA na Mei mosi
Mamlaka
inaendelea na zoezi la utoaji wa elimu kwa Umma kuzunguka nchini nzima na kwa
mwezi huu Mamlaka imejipanga kutembelea mikoa
mitano ambayo ni Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Kagera.
Mwelekeo wa Mamlaka;
Ni
mategemeo ya Mamlaka kuwa katika kipindi cha miaka 5 ijayo;
·
Sekta itakuwa
endelevu na kukua;
·
Elimu ya Hifadhi ya
Jamii itakuwa imewafikiwa Watanzania wengi zaidi
·
Wigo wa Hifadhi ya
Jamii utakuwa mpana zaidi
·
Kutakuwa na idadi
kubwa ya mifuko ya hiariya Hifadhi ya Jamii;
·
Mifuko itakuwa na
mafao bora zaidi na endelevu;
·
Ukuaji wa Mifuko ya
hifadhi ya Jamii na mahusiano na mamlaka zinginezo za sekta ya hifadhi ya
Jamii.
Mamlaka
ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii imeundwa kwa sheria Na. 8
ya 2008 ,kama ilivyorekebishwa . Jukumu
kuu likiwa ni Kusimamia, na Kuboresha utendaji wa Sekta ya Hifadhi
ya Jamii nchini.
Imetolewa na;
Idara ya Mahusiano na Mawasilano
Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti
wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
No comments:
Post a Comment