TANGAZO

Wednesday, July 2, 2014

Mama Salma Kikwete amlaki Malkia Matsebula wa Swaziland

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana tarehe 1.7.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana tarehe 1.7.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na baadhi ya wageni waliofuatana na Malkia Nomsa Matsebula mara baada ya mgeni huyo kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana, tarehe 1.7.2014.
Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland akipokea ua mara baada ya kuwasili  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana, tarehe 1.7.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na mgeni wake Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland, wakati wakielekea kupanda magari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana tarehe 1.7.2014.

No comments:

Post a Comment