TANGAZO


Saturday, July 5, 2014

Hospitali ya Mount Meru Arusha yapigwa jeki na Benki ya KCB Tanzania

Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru wakiwa kwenye picha ya  pamoja na wafanyakazi wa benki ya KCB Tanzania tawi la Arusha baada ya kupokea msaada wa kitanda maalumu chenye thamani ya shilingi Milioni 11 kwa ajili ya akina  mama kutumia wakati wa kujifungua  na vifaa tiba mbalimbali, msaada huo ulitolewa na tawi la benki hiyo mkoani arusha.
 Daktari wa Kitengo maalum cha akina mama katika Hospitali ya Mount Meru ya jijini Arusha, Mathew Kasumuni (kushoto), akipokea msaada wa  kitanda na vifaa tiba mbalimbali kutoka kwa Meneja benki ya KCB Tanzania tawi la Arusha Judith Lubuva kwa ajili ya akina mama wenye matatizo ya uzazi wanaotibiwa katika hospitali hiyo. Benki hiyo pia ilitoa msaada wa kitanda kwaajili ya kinamama wakati wa kujifungulia chenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 11 kwa ubora wake kitatumika kwa zaidi ya miaka 30.


No comments:

Post a Comment