TANGAZO

Sunday, June 29, 2014

Wanafunzi wa UDOM wakwama kusafiri kutokana na uchache wa mabasi yaendayo mikoani

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), wakigombania kulipa nauli kwa ajenti wa basi la Urafika linalofanya safari zake kuelekea Iringa leo mchana, baada ya baadhi ya Vyuo kufungwa kwa pamoja na hivyo kufanya idadi ya abiria wa mikoani kuwa wengi kuliko mabasi yaliyopo.
Askari Polisi anayelinda usalama wa abiria na mali zao, katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani, akijaribu kutoa maelekezo kwa wanafunzi wa UDOM waliofika kutafuta usafiri kituoni hapo na kukuta hali ya usafiri hairidhishi kutokana na uchache wa Mabasi.

Baadhi ya abiria wakitafakari na mabegi yao baada ya kufika kituo cha mabasi ya kwenda mikoani na kujikuta wakikosa usafiri kutokana na uchache wa mabasi ulisababishwa na Vyuo vilivyopo mkoani Dodoma kufungwa kwa wakati mmoja.

Baadhi ya abiria wakitafakari na mabegi yao baada ya kufika kituo cha mabasi ya kwenda mikoani na kujikuta wakikosa usafiri kutokana na uchache wa mabasi ulisababishwa na Vyuo vilivyopo mkoani Dodoma kufungwa kwa wakati mmoja. (Picha zote na John Banda, Dodoma)

No comments:

Post a Comment