TANGAZO


Sunday, June 22, 2014

Rais Kikwete akutana na wageni kutoka China na Oman leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Dkt Anne Suk-Ching, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama Tawala cha Jamhuri ya Watu wa China, aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo Juni 22, 2014.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dkt Anne Suk-Ching, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama Tawala cha Jamhuri ya Watu wa China aliyemtembelea  Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe Saoud Ali Mohamed Al Ruqaishi, Balozi wa Oman hapa nchini na Mjumbe Maalum wa Sultan Qaboos Bin Said wa Oman Ikulu jijini Dar es Salaam leo Juni 22, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe kutoka kwa Mhe Saoud Ali Mohamed Al Ruqaishi, Balozi wa Oman hapa nchini na Mjumbe Maalum wa Sultan Qaboos Bin Said wa Oman Ikulu jijini Dar es salaam leo, Juni 22, 2014. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment