Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Neema Rusibamayila akifungua mkutano wa Tatu wa siku tatu wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele leo, unaoendelea Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dares Salaam. (Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo)
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Neema Rusibamayila akifungua mkutano wa Tatu wa siku tatu wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele leo, unaoendelea Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dares Salaam.
Ofisa wa Program wa Magonjwa yasiyopewa kipaumbele Kitaifa kutoka Shirika la Afya la Dunia (WHO), Alphonsina Nanai akizungumza jambo leo, wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tatu wa siku tatu wa magonjwa hayo, unaoendelea kwenye hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam.
Meneja Mpango wa Taifa wa Magonjwa yasiyopewa kipaumbele, Dk. Upendo Mwingira (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Neema Rusibamayila (katikati) na Ofisa wa Program wa Magonjwa yasiyopewa kipaumbele Kitaifa wa Shirika la Afya la Dunia (WHO), Alphonsina Nanai wakifuatilia mkutano wa tatu wa siku tatu wa magonjwa hayo, unaoendelea Hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam.
Mmoja wadau wa mkutano wa Tatu wa siku tatu wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele, Tesome Kanno kutoka (ITI), akijadili jambo leo, wakati wa mkutano huo, unaoendelea kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Neema Rusibamayila (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa Afya, baada ya kufungua mkutano wa tatu wa siku tatu wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele leo, unaoendelea Hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam.
Baadhi wa wadau wa Afya, wakifuatilia mkutano wa tatu wa siku tatu wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele, unaoendelea kwenye hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam.
Baadhi wa wadau wa Afya, wakifuatilia mkutano wa tatu wa siku tatu wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele, unaoendelea kwenye hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam.
Baadhi wa wadau wa Afya, wakifuatilia mkutano wa tatu wa siku tatu wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele, unaoendelea kwenye hoteli ya Bahari Beach jijini Dares Salaam.
No comments:
Post a Comment