TANGAZO

Thursday, May 29, 2014

Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal afungua Mkutano wa Tatu wa Baraza la Mawaziri wa nchi za Maziwa Makuu na nchi majirani za Umoja wa Kudhibiti Silaha Ndogo ndogo (RECSA)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Maalum wa tatu wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Nchi Majirani zinazounda Umoja wa kudhibiti Silaha ndogo (RECSA), uliofanyika leo mchana kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Umoja huo unaundwa na nchi 15 ambazo  ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Somalia, Sudan, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Shelisheli, ElitreaAfrika ya Kusini, Jibuti na Afrika ya Kati. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Maalum wa tatu wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Nchi Majirani zinazounda Umoja wa kudhibiti Silaha ndogo (RECSA), uliofanyika leo mchana kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Umoja huo unaundwa na nchi 15 ambazo  ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Somalia, Sudan, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Shelisheli, ElitreaAfrika ya Kusini, Jibuti na Afrika ya Kati.
Baadhi ya wadau na washiriki wa mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano huo leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Ame Silima, akizungumza wakati wa mkutano huo kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua mkutano huo.
Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, akizungumza machache kabla ya kumkaribusha Makamu wa Rais kufungua rasmi mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na baadhi ya washiriki wa mkutano huo baada ya kufunguliwa rasmi kwa mkutano huo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi wa wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Nchi Majirani zinazounda Umoja wa kudhibiti Silaha ndogo (RECSA), baada ya kufungua rasmi mkutano huo leo, kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment