TANGAZO


Friday, May 30, 2014

Katibu wa Jumuiya ya Wazazi, Mkoa wa Dar es Salaam, Cholage Mohamed, awafunda wajumbe wa Jumuiya hiyo Jimboni Temeke jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Wilaya ya Temeke, Sophia Kinega, akizungumza wakati alipokuwa akiufungua mkutano wa Baraza la Wazazi Jimbo la Temeke, kabla ya Katibu wa Mkoa wa jumuiya hiyo, mkoani Dar es Salaam, Cholage Mohamed kuuhutubia mkutano huo jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mjumbe wa Baraza la Wazazi, Jimbo la Temeke, Haruna Mtulya, akisoma shairi kabla ya kufunguliwa mkutano huo. Kushoto ni 
Katibu wa Mkoa wa jumuiya hiyo, mkoani Dar es Salaam, Cholage Mohamed.  
Meza Kuu, Katibu wa Mkoa wa Jumuiya ya Wazazi, mkoani Dar es Salaam, Cholage Mohamed (katikati), akiwa na Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Wilaya ya Temeke, Sophia Kinega (kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Wazazi, Mkoa, Ray Zumbe, wakifuatilia shairi hilo. 
 Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya Temeke, Sophia Kinega, akizungumza wakati alipomkaribisha Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam, Cholage Mohamed (katikati), Temeke jijini Dar es Salaam jana.
Katibu wa Mkoa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Maapinduzi (CCM), Cholage Mohamed Ali, akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wazazi Jimbo la Temeke, Dar es Salaam jana, kuhusu majukumu ya wazazi katika jamii, uhai wa Jumiya, mchakato wa Katiba mpya, mahusiano na ushirikiano wa Jumuiya na Chama. Kushoto ni Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya Temeke, Sophia Kinega na kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wazazi mkoa, Ray Zumbe.
 Katibu wa Mkoa wa Jumuiya ya Wazi, mkoani Dar es Salaam, Cholage Mohamed Ali, akizungumza wakati wa mkutano huo, Dar es Salaam jana.
Katibu wa Mkoa wa Jumuiya ya Wazi, mkoani Dar es Salaam, Cholage Mohamed Ali, akizungumza wakati wa mkutano huo, Dar es Salaam jana.
Katibu wa Mkoa wa Jumuiya ya Wazi, mkoani Dar es Salaam, Cholage Mohamed Ali (kulia), akizungumza wakati wa mkutano huo, Dar es Salaam jana.
 Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wazazi, mkoani Dar es Salaam, Jimbo la Temeke.
 Wajumbe wa Baraza la Wazazi, Jimbo la Temeke, wakiwa katika mkutano huo.
Wajumbe wa Baraza la Wazazi, Jimbo la Temeke, wakimsikiliza katibu wa Jumuiya ya Wazazi koa wa Dar es Salaam, wakati alipokuwa akizungumza nao, jijini jana.
Katibu wa Mkoa wa Jumuiya ya Wazi, mkoani Dar es Salaam, Cholage Mohamed Ali, akizungumza katika mkutano huo.
 Katibu Msaidizi wa Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam, Mohamed Abdallah, akizungumza wakati wa mkutano huo.
Wajumbe wa Baraza la Wazazi Jimbo la Temeke, wakiwa katika mkuatano wa baraza hilo jana.
Wajumbe wa Baraza la Wazazi Jimbo la Temeke, wakiwa katika mkuatano wa baraza hilo jana.
Katibu wa Malezi na Mazingira wa Mkoa, Ray Zumam, akizungumza wakati wa mkutano huo. Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment