TANGAZO


Wednesday, April 30, 2014

PSPF WASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA KAZINI

Ofisa Mwendeshaji wa Mfukowa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PSPF), Bw, Hadji Jamadary (kushoto), akimwelekeza kujaza fomu Shabani Maganga wakati wa mahadhimisho ya siku ya usalama na afya kazini yaliyofanyika viwanja vya nazi Mmoja Dar es Salaam leo.

Ofisa Mwendeshaji wa Mfuko wa Pesheni wa Mashirika ya Uma (PSPF), Bw. Lule Kasembwe (kushoto), akitoa maelekezo kwa wazee waliojitokeza katika maadhimisho hayo. 

Ofisa Mwendeshaji wa Mfukowa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PSPF), Bw, Hadji Jamadary (kushoto),  akiwapatia maelezo ya jinsi ya kujiunga na PSPF wakati wa mahadhimisho ya siku ya usalama na afya kazini yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment