TANGAZO

Saturday, April 19, 2014

Namba maalum ya kutoa taarifa zinazohusu jinsi ya kujikinga na malaria na tiba yatangazwa rasmi Uwanja leo

Wasanii mahiri wanaounda kundi la THT wakiimba wimbo wa Malaria 'No More', kabla ya mechi kuanza ya watani wa jadi Simba na Yanga. Wakati Vodacom Tanzania  kushirikiana na Taasisi ya Malaria No More na THTwalipokuwa wakitangaza namba maalumu ambayo wateja wanaotumia huduma za kampuni hiyo wanaweza kuitumia kupata taarifa zinazohusiana na ugonjwa wa malaria. Ili mteja kuweza kupata taarifa hizo zinazohusisha jinsi ya kujikinga, tiba na masuala mengine mbalimbali ya Malaria anachopaswa mteja kufanya ni kujiunga kwa kutuma neno "Malaria" au "Mzinduka" kwenda nambari 15760 bila malipo.

Meneja Uhusiano wa Mambo ya nje Salumu Mwalim akiimba na wasani wa Kundi la THT wimbo wa kutokomeza malaria ujulikanao kama  Malaria No More  katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,kabla ya kuanza kwa mtanange wa watatni wa jadi Simba na Yanga.Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Malaria No More na THT walipokuwa wakitangaza namba maalumu ambayo wateja wanaotumia huduma za Vodacom wanaweza kuitumia kupata taarifa zinazohusiana na ugonjwa wa malaria. Ili mteja kuweza kupata taarifa hizo zinazohusisha jinsi ya kujikinga, tiba na masuala mengine mbalimbali ya Malaria anachopaswa mteja kufanya ni kujiunga kwa kutuma neon "Malaria" au "Mzinduka" kwenda nambari 15760 bila malipo.
 
Meneja Uhusiano wa Mambo ya nje Salumu Mwalim akiimba na wasani wa Kundi la THT wimbo wa kutokomeza malaria ujulikanao kama  Malaria No More  katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,kabla ya kuanza kwa mtanange wa watatni wa jadi Simba na Yanga.Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Malaria No More na THT walipokuwa wakitangaza namba maalumu ambayo wateja wanaotumia huduma za Vodacom wanaweza kuitumia kupata taarifa zinazohusiana na ugonjwa wa malaria. Ili mteja kuweza kupata taarifa hizo zinazohusisha jinsi ya kujikinga, tiba na masuala mengine mbalimbali ya Malaria anachopaswa mteja kufanya ni kujiunga kwa kutuma neno "Malaria" au "Mzinduka" kwenda nambari 15760 bila malipo.
Meneja Uhusiano wa Mambo ya nje wa Vodacom Tanzania Salum  Mwalim akitangaza namba maalumu ambayo wateja wanaotumia huduma za Vodacom wanaweza kuitumia kupata taarifa
zinazohusiana na ugonjwa wa malaria. Ili mteja kuweza kupata taarifa hizo zinazohusisha jinsi ya kujikinga, tiba na masuala mengine mbalimbali ya Malaria anachopaswa mteja kufanya ni kujiunga kwa kutuma neno "Malaria" au "M zinduka" kwenda nambari 15760 bila malipo.
 
No comments:

Post a Comment