TANGAZO


Saturday, April 19, 2014

Mabondia Francis Miyeyusho wa Tanzania na Sukkasem Kietyongyuth wa Thailand wapima uzito kwa ajili ya mpambano wao PTA leo

Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es Salaam 
Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli kwa mkono na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam 
Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia wakipeana salamu ya heshima na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam 
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam 
Bondia Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi  
Bondia Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi 
Bondia Mfaume Hamad kushoto akitunishiana misuli na Godfrey Sadiki kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi  
Bondia Ibrahim 'King Class Mawe (kushoto aliyesimama), akishuhudia mpinzani wake akipimwa afya.
Promwa mpambano, Mussa Kova akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mpambano huo. 
Bondia Francis Miyeyusho akizungumza wakati wa kupima uzito.
Bondia Miyeyusho akipimwa uzito kabla ya mpambano wao leo.
Bondia Miyeyusho akipima uzito

No comments:

Post a Comment