TANGAZO


Wednesday, April 30, 2014

Askofu Gervas Nyaisonga aagwa Dodoma akielekea Mpanda

Waumini wa Madhehebu ya Roman Katoliki (RC) Jimbo la Dodoma wakiwa katika ibada maarumu ya Shukurani kwa ajili ya kumuaga aliyekuwa Askofu wa jimbo hilo, Gervas John Nyaisonga aliyehamishiwa Mpanda. (Picha zote na John Banda, Dodoma)
Waumini wa Madhehebu ya Roman Katoliki (RC) Jimbo la Dodoma wakiwa katika ibada maarumu ya Shukurani kwa ajili ya kumuaga aliyekuwa Askofu wa jimbo hilo, Gervas John Nyaisonga aliyehamishiwa Mpanda. 
Paroko wa Kanisa la Paulo wa Msalaba, Deogratias Chundu akitoa huduma ya kumlisha mmoja wa watoto waliohudhuria tukio la kumuaga aliyekua Askofu wa jimbo katoliki la Dodoma Gervas Nyaisonga anayehamia jimbo la Mpanda, Sakrament (mwili wa bwana)
Askofu wa Jimbo Katoliki la Dodoma Gervas John Nyaisonga, ambaye anahamia Jimbo la Mapnda akizungumza wakati alipokuwa akiagwa.
Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda (wa pili), Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi na viongozi wengine Wakiwa katika ibada maalumu ya kumuaga aliyekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Dodoma Gervas John Nyaisonga aliyehamishiwa Jimbo la Mpanda. 
Askofu Gervas Nyaisonga akifukiza Ubani mbele ya Sanamu ya Yesu alipokua akisujudu kabla ya kuwaaga waumini wa kanisa katoliki jimbo la Dodoma na kuelekea jimbo la Mpanda kwa ajili ya kazi kama hiyo.
Watoto wakiserebuka wakati wa kumuaga askofu huyo.

No comments:

Post a Comment