Kiongozi wa wazazi na walezi wa wanafunzi wa kidato cha sita
waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie Adel Alex (katikati)
akielezea kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mgogoro huo
unaoendelea. Kushoto ni Patricia Richard
ambaye ni mlezi na kulia ni Dunstan Masingisa ambaye ni mzazi.



No comments:
Post a Comment