*Kingunge, Profesa Lipumba, Profesa Safari na Mtikila, wamo
Rais Jakaya Kikwete leo, ametoa majina ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Florence Turuka, akitaja majina ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo, Ofisi ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rwemamu.
UTANGULIZI
1.Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 (The Constitutional Review Act, Cap 83). Sheria hii inaweka mamlaka ya uteuzi, masharti, taratibu, vigezo na mambo mengine yote yanayopaswa kuzingatiwa katika uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba. Kwa mujibu wa Kifungu cha 22 (2A) na (2B) vigezo hivi vinajumuisha umri, jinsia, uzoefu, sifa na mahali anapotoka mjumbe husika.
1.Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 (The Constitutional Review Act, Cap 83). Sheria hii inaweka mamlaka ya uteuzi, masharti, taratibu, vigezo na mambo mengine yote yanayopaswa kuzingatiwa katika uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba. Kwa mujibu wa Kifungu cha 22 (2A) na (2B) vigezo hivi vinajumuisha umri, jinsia, uzoefu, sifa na mahali anapotoka mjumbe husika.
(i)Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano;
(ii)Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar; na
(iii)Wajumbe 201 kwa mujibu wa Kifungu Na. 22(1c) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ambayo inaonyesha makundi mbalimbali 10 yanayohusika.
3.Makundi hayo ni kama ifuatavyo:-
ii)Taasisi za Kidini (20)
(iii)Vyama vyote vya Siasa vyenye Usajili wa Kudumu (42);
(iv)Taasisi za Elimu (20);
(v) Watu wenye Ulemavu (20);
(vi)Vyama vya Wafanyakazi (19);
(vii)Vyama vinavyowakilisha Wafugaji (10);
(viii)Vyama vinavyowakilisha wavuvi (10);
(ix)Vyama vya Wakulima (20); na
(x)Vikundi vya Watu wenye Malengo yanayofanana (20).
4.Mchakato wa uteuzi ulianza kwa kutoa Tangazo la Mwaliko katika Gazeti la Serikali, Tangazo la Serikali Na 443 la tarehe 13 Desemba, 2013. Tangazo
5.Mapendekezo hayo yalitakiwa kuwasilishwa kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa upande wa Tanzania Bara na kwa upande wa Zanzibar, mapendekezo yalitakiwa kuwasilishwa kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
6.Kufuatia mwaliko huo, taasisi 554 kutoka Tanzania Bara na 178 kutoka
8.Sheria ya Mabadiliko ya Katiba imeweka masharti ya kuzingatiwa katika uteuzi wa wajumbe 201 wa Bunge la Maalum la Katiba. Masharti hayo ni pamoja na wajumbe wasiopungua theluthi moja wanatakiwa kutoka
9.
WAJUMBE
WA BUNGE LA KATIBA
10.Rais wa Jamhuri wa Muungano waTanzania wakishirikiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mpainduzi Zanzibar wamekamilisha uteuzi wa wajumbe 201. Kabla ya kutaja orodha ya wajumbe
walioteuliwa, napenda kufafanua mambo yafuatayo:
(a)Uteuzi umezingatia ushiriki wa watu wa rika zote, yaani vijana, watu wazima na wazee. Kwa ajili hiyo, wajumbe vijana yaani wenye umri wa kati miaka 22-35, ni wajumbe 35. Wajumbe wenye umri wa kati, yaani miaka 36-64, ni 145; na wajumbe wazee, yaani wenye umri wa miaka 65 na kuendelea ni 21.
10.Rais wa Jamhuri wa Muungano wa
(a)Uteuzi umezingatia ushiriki wa watu wa rika zote, yaani vijana, watu wazima na wazee. Kwa ajili hiyo, wajumbe vijana yaani wenye umri wa kati miaka 22-35, ni wajumbe 35. Wajumbe wenye umri wa kati, yaani miaka 36-64, ni 145; na wajumbe wazee, yaani wenye umri wa miaka 65 na kuendelea ni 21.
(b)Sheria inataka kuwepo na uwiano sawa kwa ajumbe wanawake na wanaume. Jambo hili limezingatiwa ipasavyo, na katika orodha hii wajumbe wanawake ni 100 na wanaume 101. Kwa vile, haiwezekani kuwa na nusu mtu, ndiyo maana idadi ya wajumbe wanaume ni 101.
(c)Uwakilishi wa vyama vya siasa ambao unahitaji kila chama chenye usajili wa kudumu kiwe na wajumbe wawili umezingatiwa. Kwa kuwa kuna vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu 21, jumla ya wajumbe 42 wamechaguliwa kwa maana ya kuwa wajumbe wawili wameteuliwa kutoka katika kila chama.
Baada
ya maelezo hayo ya utangulizi, ifuatayo ndiyo orodha ya wajumbe 201 wa Bunge Maalum la Katiba
waliobahatika kuteuliwa:
TAASISI ZISIZOKUWA ZA
KISERIKALI- (WAJUMBE 20)
|
|
|
|
1.
Magdalena
Rwebangira
|
2.
Kingunge
Ngombale Mwiru
|
3. Asha D. Mtwangi
|
4.
Maria Sarungi
Tsehai
|
5. Paul Kimiti
|
6.
Valerie N. Msoka
|
7. Fortunate Moses
Kabeja
|
8.
Sixtus Raphael Mapunda
|
9. Elizabeth Maro Minde
|
10. Happiness Samson
Sengi
|
11. Evod Herman Mmanda
|
12. Godfrey Simbeye
|
13. Mary Paul Daffa
|
|
1.
Idrissa Kitwana Mustafa
|
2.
Siti Abbas Ali
|
3.
Abdalla Abass Omar
|
4.
Salama Aboud Talib
|
5.
Juma Bakari Alawi
|
6.
Salma Hamoud Said
|
7.
Adila Hilali Vuai
|
|
TAASISI ZA
KIDINI- (WAJUMBE 20)
|
|
1.
Tamrina Manzi
|
2.
Olive Damian Luwena
|
3.
Shamim Khan
|
4.
Mchg. Ernest Kadiva
|
5.
Sheikh Hamid Masoud Jongo
|
6.
Askofu Mkuu (Mstaafu) Donald Leo
Mtetemela
|
7.
|
8.
Hamisi Ally Togwa
|
9.
Askofu Amos J. Muhagachi
|
10.
Easter Msambazi
|
11.
Mussa Yusuf Kundecha
|
12.
Respa Adam Miguma
|
13.
Prof. Costa Ricky Mahalu
|
|
1.
Sheikh Thabit Nouman Jongo
|
2.
Suzana Peter Kunambi
|
3.
Sheikh Nassoro Mohammed Ibrahimu
|
4.
Fatma Mohammed Hassan
|
5.
Louis Majaliwa
|
6.
Yasmin Yusufali E. H alloo
|
7.
Thuwein Issa Thuwein
|
|
VYAMA VYOTE VYA SIASA
VYENYE USAJILI WA KUDUMU – (WAJUMBE
42)
|
|
1.
Hashim Rungwe Spunda
|
2.
Thomas Magnus Mgoli
|
3.
Rashid Hashim Mtuta
|
4.
Shamsa Mwangunga
|
5.
Yusuf S. Manyanga
|
6.
Christopher Mtikila
|
7.
Bertha Ng’angompata
|
8.
Suzan Marwa
|
9.
Dominick Abraham Lyamchai
|
10.
Mbwana Salum Kibanda
|
11.
Peter Kuga Mziray
|
12.
Isaac Manjoba Cheyo
|
13.
Dr. Emmanuel John Makaidi
|
14.
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba
|
15.
Modesta Kizito Ponera
|
16.
Prof. Abdallah Safari
|
17.
Salumu Seleman Ally
|
18.
James Kabalo Mapalala
|
19.
Mary Oswald Mpangala
|
20.
Mwaka Lameck Mgimwa
|
21.
Nancy S. Mrikaria
|
22.
Nakazael Lukio Tenga
|
23.
Fahmi Nasoro Dovutwa
|
24.
Costantine Benjamini Akitanda
|
25.
Mary Moses Daudi
|
26.
|
27.
John Dustan Lifa Chipaka
|
28.
Rashid Mohamed Ligania Rai
|
1.
Ally Omar Juma
|
2.
Vuai Ali Vuai
|
3.
Mwanaidi Othman Twahir
|
4.
Jamila Abeid Saleh
|
5.
Mwanamrisho Juma Ahmed
|
6.
Juma Hamis Faki
|
7.
Tatu Mabrouk Haji
|
8.
Fat –Hiya Zahran Salum
|
9.
Hussein Juma
|
10.
Zeudi Mvano Abdullahi
|
11.
Juma Ally Khatibu
|
12.
Haji Ambar Khamis
|
13.
Khadija Abdallah Ahmed
|
14.
Rashid Yussuf Mchenga
|
TAASISI ZA ELIMU- (WAJUMBE 20)
|
|
1.
Dr. Suzan Kolimba
|
2. Prof. Esther
Daniel Mwaikambo
|
3.
Dr. Natujwa Mvungi
|
4. Prof. Romuald
Haule
|
5.
Dr. Domitila A.R. Bashemera
|
6. Dr. Jasmine
Bendantunguka Tiisekwa
|
7.
Prof. Bernadeta Kilian
|
8. Teddy Ladislaus
Patrick
|
9.
Dr. Francis Michael
|
10. Prof. Remmy J.
Assey
|
11.
Dr. Tulia Ackson
|
12.
Dr. Ave Maria Emilius Semakafu
|
13.
Hamza Mustafa Njozi
|
|
1.
Makame Omar Makame
|
2.
Fatma Hamid Saleh
|
3.
Dr. Aley Soud Nassor
|
4.
Layla Ali Salum
|
5.
Dkt. Mwinyi Talib Haji
|
6.
Zeyana Mohamed Haji
|
7.
Ali Ahmed Uki
|
|
WATU WENYE ULEMAVU-(WAJUMBE 20)
|
|
1.
Zuhura Musa Lusonge
|
2.
Frederick Msigala
|
3.
Amon Anastaz Mpanju
|
4.
Bure Zahran
|
5.
Edith Aron Dosha
|
6.
Vincent Venance Mzena
|
7.
Shida Salum Mohamed
|
8.
Dr. Henry Mwizengwa Nyamubi.
|
9.
Elias Msiba Masamaki
|
10.
Faustina Jonathan Urassa
|
11.
Doroth Stephano Malelela
|
12.
John Josephat Ndumbaro
|
13.
Ernest Njama Kimaya
|
|
1.
Haidar Hashim Madeweyya
|
2.
Alli Omar Makame
|
3.
Adil Mohammed Ali
|
4.
Mwandawa Khamis Mohammed
|
5.
Salim Abdalla Salim
|
6.
Salma Haji Saadat
|
7.
Mwantatu Mbarak Khamis
|
|
VYAMA VYA WAFANYAKAZI-(WAJUMBE 19)
|
|
1. Honorata Chitanda
|
2. Dr. Angelika
Semike
|
3. Ezekiah Tom
Oluoch
|
4. Adelgunda Michael
Mgaya
|
5. Dotto M. Biteko
|
6. Mary Gaspar
Makondo
|
7.
Halfani Shabani Muhogo
|
8.
Yusufu Omari Singo
|
9. Joyce Mwasha
|
10.
Amina Mweta
|
11.
Mbaraka Hussein Igangula
|
12.
Aina Shadrack Massawe
|
13.
Lucas Charles Malunde
|
|
1.
Khamis Mwinyi Mohamed
|
2. Jina Hassan
Silima
|
3.
Makame Launi Makame
|
4. Asmahany Juma Ali
|
5.
Mwatoum Khamis Othman
|
6. Rihi Haji Ali
|
VYAMA VINAVYOWAKILISHAWAFUGAJI-(WAJUMBE
10)
|
|
1. William Tate
Olenasha
|
2. Makeresia Pawa
|
3. Mabagda Gesura
Mwataghu
|
4. Doreen Maro
|
5. Magret Nyaga
|
6. Hamis Mnondwa
|
7.
Ester Milimba Juma
|
|
1. Said Abdalla
Bakari
|
2. Mashavu Yahya
|
3. Zubeir Sufiani
Mkanga
|
|
VYAMA VINAVYOWAKILISHAWAVUVI
–(WAJUMBE 10)
|
|
1.
Hawa A. Mchafu
|
2.
Rebecca Masato
|
3.
Thomas Juma Minyaro
|
4.
Timtoza Bagambise
|
5.
Tedy Malulu
|
6.
Rebecca Bugingo
|
7. Omary S. Husseni
|
|
1.
Waziri Rajab
|
2.
Issa Ameir Suleiman
|
3.
Mohamed Abdallah Ahmed
|
|
VYAMA VYAWAKULIMA-(WAJUMBE 20)
|
|
1. Agatha Harun Senyagwa
|
2. Veronica Sophu
|
3. Shaban Suleman
Muyombo
|
4. Catherine Gabriel
Sisuti
|
5.
Hamisi Hassani Dambaya
|
6.
Suzy Samson Laizer
|
7. Dr. Maselle
Zingura Maziku
|
8. Abdallah Mashausi
|
9. Hadijah Milawo
Kondo
|
10.
Rehema Madusa
|
11.
Reuben R. Matango
|
12.
Happy Suma
|
13.
Zainab Bakari Dihenga
|
|
1.
Saleh Moh’d Saleh
|
2.
Biubwa Yahya Othman
|
3. Khamis Mohammed
Salum
|
4. Khadija Nassor
Abdi
|
5. Fatma Haji Khamis
|
6. Asha Makungu
Othman
|
7.
Asya Filfil Thani
|
|
WATU
WENYE MALENGO YANAYOFANANA – (WAJUMBE 20)
|
|
1.
Dr. Christina Mnzava
|
2. Paulo Christian
Makonda
|
3.
Jesca Msambatavangu
|
4. Julius Mtatiro
|
5.
Katherin Saruni
|
6.
Abdallah Majura Bulembo
|
7.
Hemedi Abdallah Panzi
|
8. Dr. Zainab Amir
Gama
|
9.
Hassan Mohamed Wakasuvi
|
10.
Paulynus Raymond Mtendah
|
11.
Almasi Athuman Maige
|
12.
Pamela Simon Massay
|
13.
Kajubi Diocres Mukajangwa
|
14.
Kadari Singo
|
1. Yussuf Omar
Chunda
|
2. Fatma Mussa Juma
|
3. Prof. Abdul
Sheriff
|
4. Amina Abdulkadir
Ali
|
5. Shaka Hamdu Shaka
|
6. Rehema Said
Shamte
|
Imetolewa
na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
7
Februari, 2014

.jpg)
.jpg)


No comments:
Post a Comment