Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wanaosimamia Hifadhi ya Mazingira na Ulinzi wa Wanyamapori Tembo na Faru, Riziki Lolida (katikati), ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, akizungumza na waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam, kuhusu juhudi za Serikali na Umoja huo katika kupambana na vitendo vya ujangili. Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Kilindi, Beatrice Shellukindo. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Dole, Sylvester Mabumba, ambaye pia ni Katibu wa Umoja huo.
Mbunge Jimbo la Kilindi Beatrice Shellukindo (kulia)akifafanua jambo wakati wa mkutano wa umoja huo uliofanyika leo jijini Dares Salaam.Kushoto ni Mwenyekiti wa umoja wa wabunge wanaosimamia hifadhi ya mazingira na ulinzi wa wanyamapori Tembo na Faru Riziki Lolida ,ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Lindi.
Baadhi wa wabunge wa umoja huo wakiwa katika mkutano huo jijini Dares Salaam. (Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo)




No comments:
Post a Comment