
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, akionekana mwenye wasiwasi mara baada ya Jaji John Utamwa wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutoa hukumu katika shauri lake la zuio la kutaka kutokujadiliwa na Kamati Kuu ya chama hicho, Dar es Salaam leo, ambapo katika shauri hilo aliibuka mshindi. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

Wafuasi wa Zitto Kabwe wakishangilia na kuonesha ishara ya kushinda katika shauri hilo.


Tundu Lisu akiondoka Mahakama Kuu leo.
No comments:
Post a Comment