*Ulinzi waimarisha Mahakama Kuu
*Wafuasi wa pande zenye mvutano wapambana
Wafuasi waliokuwa wakimuunga mkono Zitto Kabwe wakiwa nje ya Mahakama Kuu kusubiri uamuzi wa mahakama hiyo. Zitto
aliitaka Mahakama Kuu kuzuia kujadiliwa na Kamati Kuu ya chama hicho. Hata hivyo uamuzi huo sasa utatolewa kesho mahakamani hapo.
Wafuasi waliokuwa wakimuunga mkono Zitto Kabwe wakipeperusha bendera za chama chao hicho, nje ya Mahakama Kuu leo.
Askari Polisi, wakiimarisha ulinzi maeneo ya Mahakama Kuu kwa ajili ya kuzuia ghasia ambazo zingeliweza kutokea wakati wa kutolewa uamuzi wa shauri hilo.
Askari Polisi, wakiimarisha ulinzi kwenye maeneo ya Mahakama Kuu leo.
Askari Polisi, wakiwa kazini wakati wa kusubiriwa Mahakama Kuu kutoa uamuzi wa zuio la Zitto Kabwe leo.
Askari Polisi, wakiimarisha ulinzi maeneo ya Mahakama Kuu kwa ajili ya kuzuia ghasia ambazo zingeliweza kutokea wakati wa kutolewa uamuzi wa shauri hilo.
Askari Polisi, wakiifanya upekuzi kwa wananchi waliokuwa wakiingia Mahakama Kuu, wakati wa kusubiri kutolewa uamuzi wa shauri hilo.
Wafuasi wa Zitto Kabwe wakijadili jambo nje ya Mahakama hiyo.
Askari Polisi wakiwa kwenye ulinzi mkali wakati wa kusubiri kutolewa kwa uamuzi wa shauri la Zitto Kabwe jijini Dar es Salaam leo.
Defender za Polisi zikiwa tayari kwa lolote litakalotokea kwa makundi mawili yaliyokuwepo kwenye eneo la Mahakama Kuu leo.
Gari la Polisi la maji ya kuwasha likiwa tayari kwenye maeneo ya Mahakama Kuu leo.
Askari Polisi, wakiimarisha ulinzi maeneo ya Mahakama Kuu kwa ajili ya kuzuia ghasia ambazo zingeliweza kutokea wakati wa kutolewa uamuzi wa shauri hilo.
Askari Polisi, wakiwatuliza wafuasi wa kundi la akina Mwenyekiti Freeman Mbowe na wenzake, mahakamani hapo.
Askari Polisi, wakiimarisha ulinzi maeneo ya Mahakama Kuu kwa ajili ya kuzuia ghasia ambazo zingeliweza kutokea wakati wa kutolewa uamuzi wa shauri hilo.
Askari Polisi, wakiimarisha ulinzi maeneo kwenye maeneo ya Mahakama Kuu.
Askari Polisi, wakiimarisha ulinzi maeneo ya Mahakama Kuu kwa ajili ya kuzuia ghasia ambazo zingeliweza kutokea wakati wa kutolewa uamuzi wa shauri hilo.
Kijana akishikiliwa na Askari Polisi, maeneo ya Mahakama Kuu wakati wa kutolewa uamuzi wa shauri hilo.
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwalalamikia Polisi baada ya kumtoa nje ya Mahakama Kuu, wakati akisubiri kusikiliza uamuzi wa shauri la Zitto Kabwe, Dar es Salaam leo, aliyeitaka mahakama hiyo, kuzuia kujadiliwa na Kamati Kuu ya chama hicho, iliyoketi mwishoni mwa wiki.
Wafuasi wa Zitto Kabwe wakifurahia kuaghirishwa kutolewa kwa uamuzi wa shauri hilo, ambao sasa utatolewa kesho mahakamani hapo.
Wafuasi wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na wenzake wakiwa nje ya Mahakama Kuu wakisubiri uamuzi wa shauri la Zitto Kabwe.
Mfuasi wa Zitto Kabwe akionesha bango la kumshabikia mahakamani hapo leo.

Wafuasi wa Zitto Kabwe wakionesha bango la kumshabikia mahakamani hapo leo.

Wafuasi wa Zitto Kabwe wakionesha mabango ya kumshabikia mahakamani hapo leo.

Mawakili wa Zitto Kabwe wakiwa nje ya Mahakama Kuu, Dar es Salaam wakiondoka baada ya uamuzi wa shauri hilo, kuaghirishwa hadi kesho.
Mawakili wa Zitto Kabwe wakiwa nje ya Mahakama Kuu, Dar es Salaam wakiondoka baada ya uamuzi wa shauri hilo, kuaghirishwa hadi kesho. Aliyenyanyua mkono juu ni Wakili Abert Msando.

Waandishi wa habari wakichukua matukio ya wafuasi wa pande hizo mbili zinazopingana za chama hicho.
Wafuasi wa upande wa uongozi wa Chadema ukionesha mabango yenye ujumbe wa kumtaka Zitto Kabwe, kuondoka kwenye chama hicho.

Wafuasi waliokuwa wakimuunga mkono Zitto Kabwe wakionesha bango na mwenzao kulia, akiwa ameshikilia jiwe, wakati ulipoaghirishwa uamuzi wa shuri la mwanachama huyo, aliyeitaka Mahakama Kuu kuzuia kujadiliwa na Kamati Kuu ya chama hicho.

Wafuasi wa upande wa uongozi wa Chadema wakionesha mabango yenye ujumbe wa kumtaka Zitto Kabwe, kuondoka kwenye chama hicho.

Wafuasi wa upande wa uongozi wa Chadema wakionesha mabango yenye ujumbe wa kumtaka Zitto Kabwe, kuondoka kwenye chama chao.
Mfuasi wa upande wa uongozi wa Chadema akionesha bango lenye ujumbe wa kumtaka Zitto Kabwe, kuondoka kwenye chama hicho.
Wafuasi wa upande wa uongozi wa Chadema wakionesha bango yenye ujumbe wa kumtaka Zitto Kabwe, kuondoka kwenye chama hicho.
Gari za Polisi, zikiimarisha ulinzi maeneo ya Mahakama Kuu kwa ajili ya kuzuia ghasia ambazo zingeliweza kutokea wakati wa kutolewa uamuzi wa shauri hilo.
Gari za Polisi, zikiimarisha ulinzi maeneo ya Mahakama Kuu kwa ajili ya kuzuia ghasia ambazo zingeliweza kutokea wakati wa kutolewa uamuzi wa shauri hilo.
Gari za Polisi, zikiimarisha ulinzi maeneo ya Mahakama Kuu kwa ajili ya kuzuia ghasia ambazo zingeliweza kutokea wakati wa kutolewa uamuzi wa shauri hilo.
Gari za Polisi, zikiimarisha ulinzi maeneo ya Mahakama Kuu kwa ajili ya kuzuia ghasia ambazo zingeliweza kutokea wakati wa kutolewa uamuzi wa shauri hilo.
Wafuasi wa upande wa uongozi wa Chadema ukionesha mabango yenye ujumbe wa kumtaka Zitto Kabwe, kuondoka kwenye chama hicho.
No comments:
Post a Comment