TANGAZO


Tuesday, January 28, 2014

Mbunge wa Temeke, Abbasa Mtemvu azindua Bonanza la Maveterani Yombo Makangarawe jijini Dar

 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Matemvu akikagua timu ya Veterani ya Yombo Kilakala wakati wa uzinduzi wa michuano ya maveterani ya Ujirani Mwema, katika Kata ya Yombo Kilakala, Temeke, Dar es Salaam juzi. Timu 12 kutoka sehemu mbalimbali za jiji zilishiriki kwenye michuano hiyo. Timu hiyo ilicheza na Kigamboni Veterani.  (Picha zote na Kamanda wa Matukio Blog.)
 Mtemvu akikagua timu ya Kigamboni Veterani. Kushoto ni Diwani wa Kata ya Makangarawe, Victor Mwakasendile.
Mtemvu akihutubia wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo, ambapo aliahidi kuyadhamini kwa timu zote kuzinunulia jezi za TMK. Kushoto ni Mwakasendile na Mungia Mbwana mratibu wa michuano hiyo.
Timu za New Kivule Veterani (waliovaa Bluu) na Kitunda (waliovaa bluu nyeusi) wakipepetana.
Ni mtanange kwa kwenda mbele.
Hapiti mtu hapa.
 Sasa nawatoka.
 Wanachi wakishuhudia mpambano huo.
Timu za Yombo Makangarawe Veterani (BLUU)  wakicheza na Kigamboni Veterani huku wananchi wakishuhudia
Mlinda mlango wa Kigamboni akiwania mpira na mchezaji wa Yombo Makangarawe.

No comments:

Post a Comment