TANGAZO


Thursday, January 30, 2014

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal akutana na Mawaziri wa Katiba na Sheria, Elimu na Mafunzo ya Ufundi na wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro, wakati alipofika ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 30, 2014 kwa mazungumzo. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwakaribisha Mawaziri, wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto) na wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa (katikati), wakati walipofika ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 30, 2014 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mawaziri, wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt Shukuru Kawambwa (kushoto) na wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa (katikati), wakati walipofika ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 30, 2014 kwa mazungumzo.

No comments:

Post a Comment