TANGAZO


Friday, January 3, 2014

Kampuni ya Azania Wheat Flour yakabidhiwa sehemu ya malori yake 75 na Scania Tanzania ltd

Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad (kushoto), akiwa pamoja na Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahil, nje ya Ofisi ya Kampuni ya Scania Tanzania, Dar es Salaam, wakati wa makabidhiano ya malori hayo leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad (kushoto), akiwa pamoja na Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahil, wakati wa hafla hiyo.
Hapa Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad (kulia), na Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahil ( wa pili kushoto), wakiwa na baadhi ya wageni waliofika kwenye hafla hiyo.
Haya ni baadhi ya sehemu ya Malori aina ya Scania yaliyokabidhiwa leo kwa Kampuni ya Azania Wheat Flour kwa ajili ya kuboresha huduma za usafirishaji wa bidhaa ndani na nje ya nchi.
Hapa Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad (kulia) na Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahil (kushoto), wakiyakagua baadhi ya malori aina ya Scania yaliyokabidhiwa leo kwa kampuni  na Kampuni ya Scania Tanzania.
Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad (kulia) na Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahil (kushoto), wakikagua moja ya malori hayo, wakati wa hafla ya makabidhiano leo.
Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad na Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahil, wakienda kukagua baadhi ya malori mengine.
Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad na Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahil, wakiendela na ukaguzi wao wa malori hayo.
Hapa Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahil, wakiwa na Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), wakiendela na ukaguzi wao wa malori hayo.
Hapa Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (katikati), akiwakaguza Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad na Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahil, kuyaangalia baadhi ya sehemu ya malori 75 yaliyonunuliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuboresha usafirishaji wa bidhaa ndani na nje ya nchi.

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (katikati), akiwakaguza Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad na Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahil, kuyaangalia baadhi ya sehemu ya malori 75 yaliyonunuliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuboresha usafirishaji wa bidhaa ndani na nje ya nchi.


Hapa Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kushoto), akiwaeleza jambo Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad na Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahil, mar baada ya kuyakangua baadhi ya sehemu ya malori 75 yaliyonunuliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuboresha usafirishaji wa bidhaa ndani na nje ya nchi.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), akijiandaa kumkabidhi sehemu ya malori 75 ya Scania, yenye thamani ya sh. bilioni 15, Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad (kushoto), yaliyonunuliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuboresha usafirishaji bidhaa ndani na nje ya nchi, Dar es Salaam leo. Katikati ni Meneja Mauzo na Masoko wa Azania, Mohammed Bashrahil.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), akimkabidhi sehemu ya malori 75 ya Scania, yenye thamani ya sh. bilioni 15, Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad (kushoto), yaliyonunuliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuboresha usafirishaji bidhaa ndani na nje ya nchi, Dar es Salaam leo. Katikati ni Meneja Mauzo na Masoko wa Azania, Mohammed Bashrahil.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), akimkabidhi sehemu ya malori 75 ya Scania, yenye thamani ya sh. bilioni 15,  Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad (kushoto), yaliyonunuliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuboresha usafirishaji bidhaa ndani na nje ya nchi, Dar es Salaam leo. Katikati ni Meneja Mauzo na Masoko wa Azania, Mohammed Bashrahil.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), akikabidhi sehemu ya malori 75 ya Scania, yenye thamani ya sh. bilioni 15 kwa Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, Dar es Salaam leo. Katikati ni Meneja Mauzo na Masoko wa Azania, Mohammed Bashrahil.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), akikabidhi sehemu ya malori 75 ya Scania, yenye thamani ya sh. bilioni 15 kwa Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, Dar es Salaam leo. Katikati ni Meneja Mauzo na Masoko wa Azania, Mohammed Bashrahil.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad na Meneja Mauzo na Masoko wa Azania, Mohammed Bashrahil (katikati), wakipiga picha ya pamoja mara baada ya makabidhiano hayo.
Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhiwa sehemu ya malori 75 ya kubebea bidhaa aina ya Scania na Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), Dar es Salaam leo. Katikati ni Meneja Mauzo na Masoko wa Azania, Mohammed Bashrahil.
Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhiwa sehemu ya malori 75 ya kubebea bidhaa aina ya Scania na Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (hayupo pichani), Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Mauzo na Masoko wa Azania, Mohammed Bashrahil.

Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo, jijini leo.


Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, akizungumza na waandishi wa habari.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi sehemu ya malori 75 ya Scania, yenye thamani ya sh. bilioni 15 kwa Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, yaliyonunuliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuboresha usafirishaji bidhaa, ndani na nje ya nchi, Dar es Salaam leo. 
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhi sehemu ya malori 75 ya Scania kwa Kampuni ya Azania Wheat Flour, yaliyonunuliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuboresha usafirishaji bidhaa ndani na nje ya nchi, Dar es Salaam leo. 

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi sehemu ya malori 75 ya Scania, yenye thamani ya sh. bilioni 15 kwa Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad (katikati), yaliyonunuliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuboresha usafirishaji bidhaa ndani na nje ya nchi, Dar es Salaam leo.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi sehemu ya malori 75 ya Scania, yenye thamani ya sh. bilioni 15 kwa Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad (katikati), yaliyonunuliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuboresha usafirishaji bidhaa ndani na nje ya nchi, Dar es Salaam leo.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi sehemu ya malori 75 ya Scania, yenye thamani ya sh. bilioni 15 kwa Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad (kushoto), yaliyonunuliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuboresha usafirishaji bidhaa ndani na nje ya nchi, Dar es Salaam leo.

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi sehemu ya malori 75 ya Scania, yenye thamani ya sh. bilioni 15 kwa Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad (katikati), yaliyonunuliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuboresha usafirishaji bidhaa ndani na nje ya nchi, Dar es Salaam leo.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira, akieleza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya makabidhiano ya sehemu ya malori 75 kwa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Dar es Salaam leo.

Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, akijianda kupanda moja ya malori hayo kwa ajili ya kuliangalia na kulijaribu. Anayemsindikiza ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira.
Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, akiliwasha ili kulijaribu moja ya malori hayo. 
Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, akiliwasha lori hilo.
Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, akilifurahia lori hilo baada ya kuliwasha. Pembeni yake ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira.
Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad na Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira, wakiangalia kitu kwenye dashboard ya lori hilo.

Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, akiwa kwenye lori hilo.


Meneja Mauzo wa Kampuni ya Scania Tanzania, Godwin Rwegasira (kulia), akimkabidhi zawadi Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, wakati wa hafla hiyo jijini leo.

Wakipiga picha ya pamoja, baada ya kukabidhiana zawadi.

Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, akiliangalia zaidi lori hilo.
Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Azania Wheat Flour, Ahmed Fuad, akiangalia kitu kwenye lori hilo.

No comments:

Post a Comment