TANGAZO


Wednesday, November 27, 2013

VODACOM, OILCOM na SELCOM wazindua ushirikiano wa kibiashara

*Sasa mafuta kunuliwa kwa M-Pesa

*Mashine za Selcom kutumika kufanikisha ununuzi

Meneja Huduma za Selcom, Everline Simpilu (kushoto), akitoa risiti kwa mteja aliyenunua mafuta katika Kituo cha mafuta cha Oil Com, cha Msasani, Peter Ibrahimu (katikati), wakati wa uzinduzi wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Kampuni hizo, Dar es Salaam leo, ambapo mteja ataweza kununua mafuta kwa kutumia M-Pesa kupitia mashine za Selcom, ambapo pia atapatiwa risiti yake. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Oil Com tawi la Msasani, Mohamed Said Nahdi, Ofisa wa Selcom Tumaini Mgori (wa pili kulia) na kulia kabisa ni Meneja Mahusiano nje wa Vodacom, Salumu Mwalimu.

Meneja Huduma za Selcom, Everline Simpilu (kushoto), akimpatia risiti mteja aliyenunua mafuta katika Kituo cha mafuta cha Oil Com, cha Msasani, Peter Ibrahimu (katikati), wakati wa uzinduzi wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Kampuni hizo, Dar es Salaam leo, ambapo mteja ataweza kununua mafuta kwa kutumia M-Pesa kupitia mashine za Selcom, ambapo pia atapatiwa risiti yake. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Oil Com tawi la Msasani, Mohamed Said Nahdi, Ofisa wa Selcom Tumaini Mgori (wa pili kulia) na kulia kabisa ni Meneja Mahusiano nje wa Vodacom, Salumu Mwalimu.

Meneja wa huduma za Selcom,Bi,Everline Simpilu kushoto  akimweleza mwendesha Bajaji, Peter Ibrahimu  jinsi ambavyo Selcom wanavyotoa huduma ya kununua mafuta kwa njia ya mtandao kwa kushirikiana na Vodacom M-pesa katika huduma ya lipia bidhaa pamoja na Oil Com.
Meneja wa huduma za Selcom, Everline Simpilu (kushoto), Meneja wa IT wa Kampuni za Oil Com, Aboubakari Mwita (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Oil Com tawi la msasa, Mohamed Said Nahdi, Meneja Mahusiano ya Nje wa Kampuni ya Vodacom, Salumu Mwalimu, Ofisa wa Selcom Tumaini Mgori (kulia), wakipata maelezo jinsi kutumia mashine ya Selcom kwa kununua bidhaa hizo za mafuta katika ushirikiano huo wa kibiashara waliouzindua leo.
Ofisa wa Selcom, Tumaini Mgori akiongea na waandishi wa habari 
wakati wa uzinduzi huo wa huduma hiyo. (Picha zote na Super D' Mnyamwezi)

No comments:

Post a Comment