TANGAZO


Wednesday, November 27, 2013

Ufunguzi wa Wiki ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani wafana, Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar


Wasanii wa kikundi cha First Planet, wakitumbuiza wakati wa ufunguzi wa Wiki ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani, Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wasanii wa kikundi cha First Planet, wakitumbuiza wakati wa ufunguzi wa Wiki ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani, Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam jana.
Wasanii wa kikundi cha First Planet, wakitumbuiza wakati wa ufunguzi wa Wiki ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani, Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam jana.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akiteta jambo na Katibu Tawala wa mkoa huo, Theresia Mbando, wakati wa ufunguzi huo jana.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando, akizungumza jambo wakati, akimkaribisha Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi kufungua Wiki ya maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani jana. 
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akihutubia wakati alipokuwa akifungua Wiki ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa TACADS, Dk. Fatuma Mrisho  na kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Theresia Mbando.
Baadhi ya wageni mbalimbali waalikwa pamoja na Maofisa wa taasisi mbalimbali wadau wa sekta ya mapambano ya ukimwi, wakiwa katika uzinduzi huo.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akitembelea mabanda mbalimbali ya maonesho katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam jana. 


Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akimweleza jambo Mwenyekiti Mwenyekiti Mtendaji wa TACADS, Dk. Fatuma Mrisho wakati wa uzinduzi wa Wiki ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani, Dar es Salaam jana. 


Mwakilishi wa Kondomu za kiume za Dume, akimpatia maelezo Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Ilala, Raymond Mushi.
Saida Msumi (kushoto), kutoka banda la Interfaith, Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), akimpatia maelezo Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi wakati akitembelea mabanda mbalimbali katika ufunguzi huo wa wiki ya maadhimisho ya Siku ya ukimwi duniani.


Mtaalamu wa banda la TACAIDS, akimpatia maelezo Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi (kulia), wakati akiangalia maonesho ya maadhimisho hayo jana baada ya kufungua wiki ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani.








Mratibu wa Kudhibiti Ukimwi wa Manispaa ya Kinondoni, Mercy Ndekeno, akimuonesha Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kulia), moja ya kipeperushi cha kuelimisha masuala ya ukimwi, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho, mara baada ya kuzindua Wiki ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Theresia Mbando. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mratibu wa Kudhibiti Ukimwi wa Manispaa ya Kinondoni, Mercy Ndekeno, akimuonesha Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kulia), moja ya kijarida cha kuelimisha masuala ya ukimwi, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho, mara baada ya kuzindua Wiki ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Theresia Mbando. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)


Mwenyekiti Mtendaji wa TACADS, Dk. Fatuma Mrisho 

(kushoto), akimweleza jambo Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar 


es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi,

wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada

ya kufungua Wiki ya Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi

Duniani, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana.

Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Theresia Mbando.
Hapa washiriki pamoja na mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa maadhimisho hayo.

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akiagana na Mwenyekiti Mtendaji wa TACADS, Dk. Fatuma Mrisho, mara baada ya kuzindua Wiki ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani, Dar es Salaam jana. 

No comments:

Post a Comment