Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria akutana na Viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Fanuel Mbonde akiongea katika kikao chake na Viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, hivi karibuni wakati wa ziara yake katika taasisi hiyo, iliyopo mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam. Kushoto niMwenyekiti wa Tume hiyo Mhe. Jaji Kiongozi (Mstaafu), Amiri Manento na Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Mary Massay. Lengo la ziara hiyo ni kufahamiana, kubadilishana mawazo na kukumbushana mambo muhim. (Picha zote na Ofisi ya Tume
ya Haki za Binadamu na Utawala Bora)
Katibu
Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bi. Mary Massay akijibu
baadhi ya hoja zilizotolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bw.
Fanuel Mbonde na Viongozi wa Tume hiyo, hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Kamishna
wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bernadetta Gambishi, akichangia
hoja wakati wa kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Fanuel
Mbonde na Viongozi wa Tume hivi karibuni, jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Fanuel Mbonde akiongea katika kikao chake
na Viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu
na Utawala Bora hivi karibuni, wakati wa ziara yake katika taasisi hiyo iliyopo
mtaa wa Luthuli jijini Dar es salaam. Kushoto niMwenyekiti wa Tume hiyo, Mhe.
Jaji Kiongozi (Mstaafu), Amiri Manento na Katibu Mtendaji wa Tume, Bi. Mary
Massay. Lengo la ziara hiyo ni kufahamiana, kubadilishana mawazo na
kukumbushana mambo muhim.
No comments:
Post a Comment