TANGAZO


Saturday, October 19, 2013

Ziara ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda nchini China


Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Ujumbe wake wawasili Shenzhen wakitokea Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipewa mauwa wakati alipowasili Uwanja wa Ndegea wa Shenzhen, akitokea Beijing  akiwa katika ziara ya kikazi nchini China, Oktoba 19, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baada ya kutembelea Sheko Container Teminal mjini Shenshen akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye Ubalozi wao, mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni Jenerali Abdulrahmani Shimbo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye Ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.

Baadhi ya Watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye Ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment