TANGAZO


Sunday, October 13, 2013

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka aufunga Mkutano wa 6 wa Wadau wa Mfuko wa LAPF, jijini Arusha

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, akitunukiwa zawadi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia, wakati wa Mkutano wa 6 wa wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Serikali za Mitaa (LAPF), jijini Arusha leo. (Picha zote na Mpigapicha wetu)
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu na Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, wakiwa katika mkutano huo wa 6 wa wadau wa Mfuko wa LAPF, jijini Arusha.
Viongozi mbalimbali na wageni waalikwa wakielekea ukumbi wa mkutano. Kutoka kushoto ni Eliud Sanga, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, Waziri wa Tamisemi, Hawa Ghasia, Profesa Hassan Mlawa na Irene Isaka.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka, akifunga Mkutano Mkuu wa 6 wa LAPF jijini Arusha leo. Kusho ni Waziri wa Tamisemi, Hawa Ghasia, Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akisalimiana na Mkurugenzi wa Uendeshaji, LEPF, Valerian Mablangeti. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa LAPF, Profesa Hassan Mlawa. Wanoshuhudia kushoto ni Waziri wa Tamisemi, Hawa Ghasia, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka na Eliud Sanga.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, akisamilimiana na Meneja Matekelezo wa LAPF, Valerian Mablangeti, wakati alipowasili kuufunga mkutano huo.

Waziri wa TAMISEMI, Hawa Ghasia akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu, SSRA, Irene Isaka, mara baada ya kufungwa kwa mkutano huo na Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka.

No comments:

Post a Comment