TANGAZO


Friday, October 25, 2013

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete azindua Mkutano wa Nne wa Kugawa Vitalu vya Utafutaji Mafuta na Gesi Baharini nchini

 
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Mkutano wa Nne wa Kugawa Vitalu vya Utafutaji Mafuta na Gesi Baharini nchini Tanzania, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wajumbe walihudhuria uzinduzi wa Mkutano wa Nne wa Kugawa Vitalu vya Utafutaji Mafuta na Gesi Baharini katika Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuashiria Uzinduzi wa Mkutano wa Nne wa Kugawa Vitalu vya Utafutaji Mafuta na Gesi Baharini katika Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospeter Muhongo na kulia pembeni ya Rais ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPDC Mhandisi Joyce Kisamo.(Picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment