TANGAZO

Friday, October 18, 2013

Mamake Ufoo Saro azikwa Machame, Moshi mkoani Kilimanjaro

Jenenza lenye mwili wa mamake Ufoo Saro likitolewa Kanisani kwa ajili ya kupelekwa makaburini lwa mazishi Machame, Moshi, mkoani Kilimanjaro leo.
Waombolezaji wakilibeba kulipaleka makaburini jeneza lenye mwili wa mama yake, Ufoo Saro.
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Anastazia Saro, likiwekwa kaburini.
Mkuu wa jimbo la Hai, Aminirabi Swai akiongoza ibada ya maziko katika makaburi ya kanisa hilo na kisha kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu Anastazia Saro.
Mkuu wa jimbo la Hai, Aminirabi Swai akiongoza ibada ya maziko katika makaburi ya kanisa hilo na kisha kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu Anastazia Saro.
mwakilishi wa serikali katika maziko ya marehemu Anastazia Saro ,mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga akiweka shada la Maua katika kaburi.
Mtoto Alvis Anthery akiweka shada la maua katika kaburi la Bibi yake marehemu Anastazia Saro. (Picha zote na Dixon Busagaga)

No comments:

Post a Comment