TANGAZO

Saturday, October 19, 2013

Mahafali ya 18 Sekondari ya Airwing, Ukonga jijini Dar, yafana

*Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa awa Mgeni rasmi 
*Ahidi kujenga mabweni matatu hadi 2014

Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Airwing, Ukonga jijini Dar es Salaam, wakiimba wimbo wa shule hiyo, wakati wa mahafali yao ya 18 shuleni hapo leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mgeni rasmi katika mahafali ya 18 ya Shule ya Sekondari ya Airwing, Ukonga jijini, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa (katikati), akiwa na Mkuu wa shule hiyo, Meja Tumaini Lupindu (kushoto) na Mwakilishi wa Mlezi wa shule hiyo, Kanali Moshi Mlambalazi (kulia), wakiwa wamesimama wakati wa kuimbwa wimbo wa shule hiyo katika mahafali hayo.
Mkuu wa shule hiyo, Meja Tumaini Lupindu, akizungumza wakati alipokuwa akimkaribisha mgeni rasmi katika mahafali hayo, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa (kulia), shuleni hapo leo.
Mkuu wa shule hiyo, Meja Tumaini Lupindu, akizungumza wakati alipokuwa akitoa utambulisho kwa mgeni rasmi katika mahafali hayo, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa (katikati), shuleni hapo leo. Kulia ni Mwakilishi wa Mlezi wa shule hiyo, Kanali Moshi Mlambalazi.
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wa shule hiyo, wakiwa katika mahafali yao hayo, wakimsikiliza Mkuu wa shule, Meja Tumaini Lupindu, wakati alipokuwa akitoa utambulisho kwa mgeni rasmi, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa.
Baadhi ya wahitimu wa shule hiyo, wakitumbuiza wakati wa mahafali hayo leo.

Juu na chini, Mgeni rasmi katika mahafali hayo, ya 18, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa, akiwakabidhi zawadi mbalimbali baadhi ya wahitimu waliofanya vizuri katika masomo mbalimbali pamoja na nidhamu, usafi na uwajibikaji.

Wahitimu wa kidato cha nne B, wakiwa na mbuzi wao, waliokabidhiwa na mgeni rasmi, Diwani Bona Kaluwa baada ya kuwa timu mbora ya mpira wa miguu shuleni hapo.
Diwani wa Kata ya Kipawa Bona Kaluwa, akimkabidhi kapteni wa timu ya mpira wa Volleyball wa kidato cha nne B, soda pamoja na mbuzi, baada ya kuwa timu bora shuleni hapo, wakati wa mahafali hayo leo.
Mhitimu Stephanpo Pius, akisoma risala ya wahitimu hao, mbele ya mgeni rasmi, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa.
Baadhi ya wazazi wa wahitimu wa kidato cha nne, wakiwa katika mahafali hayo, wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitendeka katika hafla hiyo.
Baadhi ya wahitimu wakiimba moja ya nyimbo zao, wakati walipokuwa wakiburudisha katika hafla hiyo leo. 
Baadhi ya vijana na wanafunzi wa shule hiyo, wakiwa katika mahafali hayo leo.
Mgeni rasmi katika mahafali ya 18 ya Shule ya Sekondari ya Airwing, Ukonga jijini, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa, akitoa hotuba yake, wakati wa mahafali hayo, ambapo pamoja na mambo mengine aliahidi kujenga mabweni matatu kwa kushirikiana na uongozi wa shule hiyo, "hadi ifikapo mwaka 2014 yatakuwa yamekamilika", alisema diwani Kaluwa. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Meja Tumaini Lupindu  na kulia ni Mwakilishi wa Mlezi wa shule hiyo, Kanali Moshi Mlambalazi.

Viongozi wa Shule ya Airwing, wakiwa na mgeni rasmi, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa katika meza kuu, wakati wa mahafali hayo jijini leo.
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wa shule hiyo, wakisikiliza na kufuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitendeka katika mahafali yao hayo.
Mwakilishi wa Mlezi wa shule hiyo, Kanali Moshi Mlambalazi, akizungumza wakati alipokuwa akimkaribisha mgeni rasmi, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa (katikati), kuwakabidhi vyeti wahitimu wa kidato cha nne katika mahafali hayo jijini leo.

Juu na chini, Diwani wa Kata ya Kipawa Bona Kaluwa, akiwakabidhi vyeti vya kuhitimu kidato cha nne wahitimu hao, wakati wa mahafali yao hayo, shuleni hapo leo.

Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa, akipiga picha ya pamoja na wahitimu wa kidato cha nne A, mara baada ya kuwakabidhi vyeti vyao wakati wa hafla hiyo, shuleni hapo leo.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa, akipiga picha ya pamoja na wahitimu wa kidato cha nne B, mara baada ya kuwakabidhi vyeti vyao wakati wa hafla hiyo, shuleni hapo leo.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa, akipiga picha ya pamoja na wahitimu wa kidato cha nne C, mara baada ya kuwakabidhi vyeti vyao wakati wa hafla hiyo, shuleni hapo leo.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa, akipiga picha ya pamoja na wahitimu wa kidato cha nne D, mara baada ya kuwakabidhi vyeti vyao wakati wa hafla hiyo, shuleni hapo leo.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa, akipiga picha ya pamoja na wahitimu wa kidato cha nne E, mara baada ya kuwakabidhi vyeti vyao wakati wa hafla hiyo, shuleni hapo leo.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa, akipiga picha ya pamoja na wahitimu wa kidato cha nne F, mara baada ya kuwakabidhi vyeti vyao wakati wa hafla hiyo, shuleni hapo leo.

Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Diwani wa Kata ya Kipawa, Bona Kaluwa, akipiga picha ya pamoja na wahitimu, viongozi wa idara mbalimbali wa shule hiyo, kidato cha nne A, mara baada ya kuwakabidhi vyeti vyao wakati wa hafla hiyo, shuleni hapo leo.

1 comment:

  1. Dear Customers,
    Expert funding group provides loans to Individuals and companies especially Individuals who have business plans and Ideas but find it difficult to start due to low or lack of starting capital.

    Business ideas with low investment and high profit you can start.
    Supermarket and fast food restaurant stores.
    Clothing and jewelry Sector etc.

    Get an Instant Short and long term loan to Set up your own business and enjoy the benefits of being your own boss.

    with an affordable 2% interest rate
    Flexible repayment 1 to 15 years duration
    Contact us via email: franchisecapitalcorps@gmail.com

    ReplyDelete