TANGAZO


Monday, October 14, 2013

Balozi wa woto wa Marekani aonana na Mama Salma Kikwete jijini Dar es Salaam

Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel  Oduwole (kushoto) akipokelewa na Msaidizi wa Rais katika masuala ya jamii Mwanahamisi  Kitogo  (kulia) kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA)  mara baada ya   kuitembelea ofisi hiyo  hivi karibuni jijini Dares Salaam.
Mke  wa Rais  Mama Salma Kikwete ( kulia) akisalimiana na  Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel  Oduwole (kushoto) kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na  Maendeleo(WAMA)  mara baada  kuitembelea  ofisi hiyo hivi karibuni  jijini Dares Salaam.
Mke  wa Rais  Mama Salma Kikwete ( kulia) akisalimiana na  Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel  Oduwole (kushoto) kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na  Maendeleo(WAMA)  mara baada  kuitembelea  ofisi hiyo hivi karibuni  jijini Dares Salaam.
Mke wa Rais  Mama Salma Kikwete (kulia), akizungumza na  mama mzazi wa Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel  Oduwole, Partricia   Oduwole (kushoto) kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na  Maendeleo(WAMA)  mara baada  kuitembelea  ofisi hiyo hivi karibuni jijini   jijini Dares Salaam. Aliyebebwa ni Ismachiah  mdogo wake na Zuriel.
Picha namba 7487  ni Mke wa Rais  Mama Salma Kikwete (katikati) akiwa na  Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole (kulia ) wengine aliyevaa nguo ya njano ni  Azaliah na pinki ni Arielle  ambao ni wadogo zake na Zuriel,  kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na  Maendeleo(WAMA)  mara  baada  kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni   jijini Dares Salaam.
Mke wa Rais  Mama Salma Kikwete akisisitiza  jambo kwa   Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel  Oduwole,  kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na  Maendeleo(WAMA)  mara  baada  kuitembelea  jana jioni  jijini Dares Salaam.
Mke wa Rais  Mama Salma Kikwete akimwonesha T-sheti yenye nembo ya Taasisi ya Wanawake na  Maendeleo(WAMA)   Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel   mara  baada  kuitembelea ofisi hiyo   hivi karibuni   jijini Dares Salaam.
Mke wa Rais  Mama Salma Kikwete akimvalisha T-sheti yenye nembo ya   Taasisi ya Wanawake na  Maendeleo(WAMA)   Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel  Oduwole ikiwa ni ishara ya kumteua kuwa balozi wa WAMA,  alipoitembelea ofisi hiyo hivi karibuni   jijini Dares Salaam. Kulia  ni  Mkurugenzi wa uboreshaji  afya – WAMA Dk. Sarah  Maongezi .
Mke wa Rais  Mama Salma   Kikwete akimuonyesha Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel  Oduwole kinyago kinachoonyesha umoja wa watanzania wakati balozi huo alipozitembelea ofisi za WAMA  hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais  Mama Salma Kikwete akimwonesha   khanga iliyobuniwa na  Taasisi ya Wanawake na  Maendeleo(WAMA)   Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel yenye maandishi  ya ‘mtoto wa mwenzio ni mwanao mkinge na ukimwi’  kwenye ofisi za mara  baada  kuitembelea ofisi hiyo   jana jioni  jijini Dares Salaam.
(Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo)

No comments:

Post a Comment