Spika wa Bunge, Anna Makinda (kulia), akizungumza na Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa wa Bunge, Jossey Mwakasyuka baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro leo kwa ajili ya kushiriki kwenye mkutano wa Mwaka wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), unatarajiwa kuanza kesho, jijini Arusha. (Picha zote na Owen Mwandumbya)
Wabunge wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro leo kwa ajili ya kushiriki kwenye mkutano wa Mwaka wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), unatalajiwa kuanza kesho jijini Arusha.

No comments:
Post a Comment