Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwelile akibadilishana mkataba na Balozi wa Uswisi nchini Oliver Chave baada ya kutiliana saini mkataba wenye thamani ya shilingi bilioni 10.3 kwa ajili ya kusaidia Mradi wa Kupambana na Malaria Kitaifa (National Malaria Control Program) leo, jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dk. Servacius Likwelile akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo, jijini Dar es salaam baada ya Serikali ya Tanzania kutiliana saini mkataba wenye thamani ya shillingi bilioni 10.3 kwa ajili ya kusaidia Mradi wa Kupambana na Malaria Kitaifa(National Malaria Control Program) na Serikali ya Uswisi. Kulia ni Balozi wa Uswisi nchini Oliver Chave.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk. Donald Mmbando akiongea na waandishi wa habari baada ya Wizara hiyo kupokea msaada wenye thamani ya shilingi bilioni 10.3 kwa ajili ya kusaidia Mradi wa Kupambana na Malaria Kitaifa(National Malaria Control Program) kutoka Serilikali ya Uswisi. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwelile. (Picha zote na Lorietha Laurence-Maelezo).
No comments:
Post a Comment