TANGAZO


Saturday, September 14, 2013

Mbunge Zungu, kikundi cha akinamama cha Neema Women Power wakabidhi magodoro Hospitali ya Amana

Wanawake wa kikundi cha Neema Women Power cha Ilala, jijini Dar es Salaam, wakishusha magodoro 24, nje ya Hospitali ya Amana walikokwenda kuyakabidhi hospitalini hapo jana huku wakiambatana na Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wanawake wa kikundi cha Neema Women Power cha Ilala, jijini Dar es Salaam, wakishusha magodoro 24, nje ya Hospitali ya Amana walikokwenda kuyakabidhi hospitalini hapo jana huku wakiambatana na Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu (wa tatu kulia), akiangalia magodoro hayo.
Wanawake wa kikundi cha Neema Women Power cha Ilala, jijini Dar es Salaam, wakishusha magodoro 24, nje ya Hospitali ya Amana walikokwenda kuyakabidhi hospitalini hapo jana.
Mwenyekiti wa kikundi hicho cha akinamama cha Neema Women Power, Mariam Dedes, akimkabidhi Mbunge Mussa Zungu moja ya magodoro hayo, hospitalini hapo jana kwa niaba ya Hospitali hiyo. Wengine ni wanachama wa kikundi hicho na kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali hiyo, Omary Mahiza.
Mbunge Mussa wa Ilala, Mussa Zungu akimkabidhi Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Amana, Omary Mahiza, moja ya magodoro hayo, yaliyotolewa na kikundi hicho cha akinamama cha Neema Women Power. Katikati yao ni Mwenyekiti wa kikundi hicho, Mariam Dedes.

No comments:

Post a Comment