| Kinana akisalimiana na ofisa wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) wilayani Bariadi. |
| Kinana akimpatia Mbunge wa Jimbo la Bariadi Magharibi, Andrew Chenge ili azungumze katika mkutano huo. |
| Nape alkila wali kwa maharage pamoja na wananchi chakula kilichoandaliwa na Balozi kwa ugeni huo. |
| Wananchi wakitoa malalamiko yao kwa Kinana na kumuomba auamuru uongozi akiwemo mhandisi wa maji wa wilaya ya Bariadi, kuwapatia haraka maji kutoka kwenye kisima kilichopo katika kijiji hicho. |
| Kinana akiwasihi wananchi hao kuwa wavumilivu hadi Oktoba muda ambao wameahidiwa na uongozi kuwa wataanza kupata maji. |
| Mbunge wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge akiahidi kujenga moja ya vyumba vya madarasa katika shule ya Malambo. |
| Chenge akielezea katika mkutano wa hadhara ahadi mbalimbali zilizotekelezwa na yeye pamoja na serikali katika jimbo hilo. |
Kinana akihutubia wananchini katika mkutano wa hadhara mjini Bariadi, ambapo pamoja na mambo mengine, aliwataka viongozi wanaowatesa waalimu kwa kutowatekelezea maslahi yao, wajuzulu mara moja.
| Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mkutano huo wa hadhara. |
| Kiongozi wa Bodaboda wilayani Baraiadi, Masumbuko Nchina akiapatiwa na Kinana sh.mil. 1 iliyotolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Simiyu, Njalu Silanga. |

No comments:
Post a Comment