Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Kujitolea na
Maendeleo Tanzania (TCDO), Swedi Twaibu, akizungumza wakati alipokuwa akifungua
mkutano wa Baraza la Katiba kwa ajili ya kuchangia maoni ya katiba,
ulioandaliwa na taasisi hiyo, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Katibu Mkuu wa
TCDO, Ahmed Twaha na kulia ni Jaji Muhamed Waziri. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika Baraza la kutoa maoni ya Rasmu ya Katiba wakimsikiliza Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Kujitolea na Maendeleo Tanzania (TCDO), Swedi Twaibu, wakati alipokuwa akizungumza nao, kuhusu kutoa maoni yatakayoboresha katiba ya nchi, alipokuwa akiufungua mkutano huo wa Baraza la Katiba ulioandaliwa na taasisi hiyo, Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika mkutano wa Baraza la kutoa maoni ya Rasimu ya Katiba wakimsikiliza Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Kujitolea na Maendeleo Tanzania (TCDO), Swedi Twaibu, wakati alipokuwa akizungumza nao, kuhusu kutoa maoni yatakayoboresha katiba ya nchi, alipokuwa akiufungua mkutano huo wa Baraza la Katiba ulioandaliwa na taasisi hiyo, Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika Baraza la kutoa maoni ya Rasimu ya Katiba wakimsikiliza Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Kujitolea na Maendeleo Tanzania (TCDO), Swedi Twaibu, wakati alipokuwa akizungumza nao, kuhusu kutoa maoni yatakayoboresha katiba ya nchi, alipokuwa akiufungua mkutano huo wa Baraza la Katiba ulioandaliwa na taasisi hiyo, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Katibu Mkuu wa TCDO, Ahmed Twaha na kulia ni Jaji Muhamed Waziri.
Mkuu wa Idara ya Dini wa Taasisi ya Kujitolea na Maendeleo Tanzania (TCDO), Jaji Muhamed Waziri, akizungumza wakati alipokuwa akiwasilisha mada juu ya kutoa maoni kwa manufaa ya watanzania wote katika mkutano huo wa Katba Mpya. Kushoto ni Katibu Mkuu wa TCDO, Ahmed Twaha na katikati ni Jaji Muhamed Waziri.
Baadhi ya Makatibu wahutasi wa TCDO, wakiwa kazini wakati wa ufunguzi wa Baraza la Katiba, lililoandaliwana taasisi hiyo kwa ajili ya kuboresha Katiba mpya jijini jana.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika Baraza la kutoa maoni ya Rasimu ya Katiba wakimsikiliza Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Kujitolea na Maendeleo Tanzania (TCDO), Swedi Twaibu, wakati alipokuwa akizungumza nao, kuhusu kutoa maoni yatakayoboresha katiba ya nchi, alipokuwa akiufungua mkutano huo wa Baraza la Katiba ulioandaliwa na taasisi hiyo, Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Kujitolea na Maendeleo Tanzania (TCDO), Swedi Twaibu, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, mara baada ya kulifungua baraza la Katiba kwa ajili ya kuboresha Rasimu ya kwanza ya Katiba, jijini jana.
No comments:
Post a Comment