TANGAZO


Sunday, August 25, 2013

Mkutano wa Chadema Iringa wafana

Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mj i wa Iringa, katika mkutano wa hadhara wa Maraza ya Wazi ya Rasimu ya katiba mpya, ulofanyika kwenye Uumbi wa Mwembe Togwa mjini Iringa jana. (Picha zote na Josph Senga)
Tundu Lissu akihutubia mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Iringa katika mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya kujadili rasimu ya katiba mpya, ulofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa jana.

No comments:

Post a Comment