TANGAZO

Monday, August 26, 2013

Tanzania yapokea msaada wa Tsh. Bil. 101 kutoka Jumuiya ya Ulaya (EU) kusaidia Bajeti ya 2013/14

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsubiri Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa pamoja na Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi kwa ajili ya hafla ya kukabidhi msaada wa Tsh. Bil. 101 kusaidia Bajeti ya 2013/14, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsubiri Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa pamoja na Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi kwa ajili ya hafla ya kukabidhi msaada wa Tsh. Bil. 101 kusaidia Bajeti ya 2013/14, Dar es Salaam leo. 

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa tayari na zana zao za kazi, wakiwasubiri Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa pamoja na Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi kwa ajili ya hafla ya kukabidhi msaada wa Tsh. Bil. 101 kusaidia Bajeti ya 2013/14, Dar es Salaam leo. 
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto), akipokea mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101, kutoka kwa Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi kwa ajili ya kusaidia bajeti kwa mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo.

Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi, akizungumza katika hafla ya kukabidhi mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101, zilizotolewa na Jumuiya hiyo kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa.

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla hiyo, wakichukua maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi na Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa. 
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla hiyo, wakisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi na Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa. 
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto), akimshukuru Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi baada ya kumkabidhi mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101, msaada uliotolewa na Jumuiya hiyo kwa ajili ya kusaidia bajeti kwa mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, akizungumza katika hafla ya kukabidhi mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101,  ilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo.

Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101,  ilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101,  ilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo. 
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101,  ilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo. 
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto), akimshukuru Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi baada ya kumkabidhi mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101, msaada uliotolewa na Jumuiya hiyo kwa ajili ya kusaidia bajeti kwa mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi, akiwa na mjumbe wake, Mkuu wa Kitengo cha Uchumi, Olivier Coupleux (kulia) na Ofisa Mipango na Misaada wa EU nchini, Kurthum Maabad, wakijadili jambo wakati wa hafla hiyo.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101,  ilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101,  ilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101,  ilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101,  ilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101,  ilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni Mkuu wa Ujumbe wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Balozi Filiberto Sebregondi.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101,  ilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo. 
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, akijibu maswali ya waandishi wa habari katika hafla ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh. bil. 101,  ilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya mwaka 2013/14, Dar es Salaam leo.

Na Veronica Kazimoto – MAELEZO, Dar es Salaam
Jumuiya ya Umoja wa Nchi za Ulaya, imetoa msaada wa hundi yenye thamani ya Yuro mil. 47.75, sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 101 kwa ajili ya kusaidia Bajeti ya Serikali ili iweze kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia ifikapo mwaka 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Waziri wa fedha Dkt. William Mgimwa amesema fedha hizo zitasaidia katika kufikia malengo hayo ya Milenia kwa kuwa zitapelekwa kwenye uboreshaji wa huduma muhimu za jamii.
“Fedha hizi zitatumika katika kusaidia huduma muhimu za jamii ambazo zikiboreshwa zitasaidia katika kuleta maendeleo ya wananchi na hatimaye kupunguza umaskini nchini, amesema Waziri Mgimwa.”
Waziri Mgimwa amefafanua kuwa fedha hizo zitatumika katika kuboresha miundombinu ya barabara, umeme, elimu, kupunguza vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano, vifo vya akina mama wajawazito pamoja na uboreshaji wa huduma ya maji safi.
Naye Baloz wa Jumuiya ya Umoja wa Nchi za Ulaya hapa nchini Filiberto Sebregondi amesema kuwa Jumuiya hiyo imefurahishwa na jinsi Tanzania inavyojitahidi kuboresha huduma mbalimbali za jamii ili iweze kupunguza umaskini na hatimaye kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia kama ilivyopangwa.
“Fedha hizi zimekusudiwa kuisaidia Tanzania kupunguza umasikini ili iweze kufikia Malengo ya Maendelo ya Milenia ifikapo mwaka 2015”, ameongeza Baloz Sebregond. 

Msaada huu umetolewa ikiwa ni mwendelezo wa ahadi iliyotolewa na Jumuiya ya Umoja wa Nchi za Ulaya mwaka 2009 wa kuisaidia Tanzania kiasi cha Yuro 305 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 654.7 kwa kipindi cha miaka sita na mpaka sasa jumla ya shilingi bilioni 507.7 zimeshatolewa.

No comments:

Post a Comment