Meneja wa tasisi ya Wazanzibari wanaoshi Canada (ZANCANA) Bishara Al-masroor wakati alievaa mtandio mweupe akiwa na wakilishi wenziwe wakimkabidhi msaada wa sare za wauguzi,(wamwanzo kulia) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Dkt. Sira Ubwa Mamboya, huko Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Dkt. Sira Ubwa Mamboya, akiwa na Wazanzibar wanaoshi Canada katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi sare za wauguzi, huko Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar. (Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment