TANGAZO

Saturday, August 3, 2013

Simba SC, Kombaini ya Polisi nguvu sawa, zafungana bao 1-1, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Haya ni mtokeo ya kipindi cha kwanza cha mchezo kati ya Simba na Kombaini ya Polisi nchini katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo jioni. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Miraji Adam wa Simba akimzuiya Mokili Lambo wa Kombaini ya Polisi, wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya timu hizo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana bao 1-1.

Wacheaji wa Simba wakiingia uwanjani kuanza kipindi cha pili.
 Heka heka kwenye lango la Kombani ya Polisi.

Betram Mwombeki wa Simba, akijaribu kumpiga chenga Simon Fanuel wa timu ya Kombaini ya Polisi, wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya timu hizo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana bao 1-1.

Ubao wa matokeo ukionesha matokeo ya mchezo huo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Nassoro Chollo, akipiga krosi mbele ya Andrew Bundala wa Kombaini ya Polisi.
  Nassoro Chollo wa Simba, akimdhibiti Andrew Bundala wa Kombaini ya Polisi.
 Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Miraji Adam wa Simba akimzuiya Mokili Lambo wa Kombaini ya Polisi, wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya timu hizo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana bao 1-1.

No comments:

Post a Comment