TANGAZO


Saturday, August 3, 2013

Bohari Kuu ya Dawa (MSD), yaendesha semina ya kufikisha Dawa ngazi ya Zahanati na Hospitali Kanda ya Kusini nchini Tanzania


Kaimu Mkurugenzi wa Shughuli za Kanda wa Bohari 
Kuu ya Dawa (MSD), Edward Terry (katikati), akifungua
semina hiyo kwa niaba ya Naibu Mkurugenzi wa MSD, Cosmas Mwaifwani. Kushoto ni Mwakilishi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dickson Kejo na Meneja wa 
Kanda ya Kusini, Daudi  Msasi.
Kaimu Meneja Mipango na Mahitaji wa MSD, Marco Masala (kushoto) na Ofisa Mwandamizi Ufuatiliaji na Tathmini MSD Makao Makuu, Gabriel Mkwawe.
Wadau wa Afya kutoka Kanda ya Kusini wakiwa kwenye 
semina hiyo.
Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Channel Ten 
Makao Makuu, Moses Massenga (kulia), akitoa 
mada katika semina hiyo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Kaimu Meneja Mipango na Mahitaji wa MSD, Marco Masala (kulia), akimuonesha jambo Meneja wa Kanda wa Kaskazini, Komrade Celestine Haule wakati wa semina hiyo.
Mwandishi wa habari kutoka Kampuni ya The Guardian LTD, Mwanaid Swedi akiwa kwenye semina hiyo.
Wadau wa sekta ya Afya wakiwa kwenye semina hiyo. Kutoka kushoto ni DP wa Wilaya ya Newala, Said Shariff, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Newala, Dk. Athanase Emmanuel na Administrator wa Hospitali ya Nyangao, Waisha Ronald.
Kaimu  Mkurugenzi wa Shughuli za Kanda wa Bohari ya Dawa (MSD), Edward Terry (kulia), akiwa na Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dickson Kejo katika semina hiyo. 
Wafanyakazi wa MSD Kanda ya Kusini wakiandaa vifaa vya maonesho vilivyo oneshwa katika semina hiyo.
Ofisa Ghala wa MSD, Kheri Joshua (kushoto), akitoa  ufafanuzi  kwa maofisa wa MSD jinsi  kifaa cha kupimia wagonjwa anachokionesha jinsi kinavyofanya kazi.
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Ofisa Uhusiano wa MSD, Etty Kusiluka akiwakaribisha 
wadau mbalimbali kabla ya kuanza kwa semina hiyo.
Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa MSD, Comrade Celestine Haule akitoa mada kwenye semina hiyo.
 Wadau wakifuatia mada kwa makini.
Meneja wa Kanda ya Kusini, Daudi Msasi akitoa neno 
fupi la ukaribisho kabla ya kuanza kwa semina hiyo. Kushoto ni Mwakilishi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dickson Kejo na Kaimu Mkurugenzi wa Shughuli za Kanda wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Edward Terry.
Wadau mbalimbali waliohudhuria semina hiyo, wakiwa katika picha ya pamoja.
Ofisa Uhusiano wa MSD, Etty Kusiluka (kulia), akiteta 
jambo na Meneja wa MSD Kanda ya Kusini, Daudi Msasi (katikati) na Mkurugenzi wa Shughuli za Kanda wa Bohari
 Kuu ya Dawa (MSD), Edward Terry.
Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Masasi, George Kumwembe (kushoto), akiangalia moja ya kitanda cha wagonjwa vinavyouzwa na MSD. Kitanda hicho, kinauzwa sh.milioni 1.1. (Picha zote na Dotto Mwaibale)

No comments:

Post a Comment